Ubunifu huu wa Kitufe cha Mobile unagharimu $150
Ubunifu wa Mchoro unaogharimu $150
Mikono ya robot
iliyobuniwa na NASA kutoka
$50
Ubunifu wa Tovuti huu unagharimu $390

Ajiri wafanyakazi huru wataalam kwa kazi yako, mtandaoni

Mamillioni ya biashara ndogo ndogo hutumia kazi za ufanyakazi huru kwenye Freelancer.com kufanya mawazo bunifu yao kuwa hai.

Je una talanta na unatafuta kazi? Jisajili kama mfanyakazi huru.

Unahitaji kazi ifanyike?

Tuma mradi wako na upokee zabuni za kiushindani kutoka kwa wafanyakazi huru kwa dakika chache. Mfumo wetu wa sifa utafanya kumpata mfanyakazi huru anayefaa kazi yako kuwa rahisi. Ni njia rahisi na salama ya kufanyiwa kazi mtandaoni!

Tunao mamillioni ya Wafanyakazi huru kwa maelfu ya kazi huru: kuanzia ubunifu wa tovuti, ujenzi wa vitufe vya mobile, wasaidizi mtandaoni, utengenezaji bidhaa, na ubunifu wa michoro. Chochote unachohitaji, kutakuwa na mfanyakazi huru wa kukifanya.

Utanufaikaje?

  • Utapokea zabuni za bure kutoka kwa wafanyakazi huru wetu wenye talanta kwa sekunde chache.
  • Kusalia ukijua yanayoendelea kupitia huduma ya 24/7, time tracker na vitufe vya simu.
  • Zungumza bila malipo.
  • Pitia baadhi ya kazi za awali.
  • Lipia tu kazi ikiwa itakamilika kwa njia salama na dhabiti. Wachilia malipo ikiwa utaridhika kwa asilimia 100% na kazi iliyopeanwa.