Kutana na timu ya Freelancer!

Wakurugenzi
  • Matt Barrie
    Soma Zaidi kuhusu Matt

    Matt Barrie

    Afisa Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti BE (Hons I) BSc (Hons I) GDipAppFin MAppFin MSEE (Stanford) GAICD SEP FIEAust

    Matt Barrie ni mjasiriamali wa teknolojia na mshindi wa tuzo. Yeye ni Mtendaji Mkuu wa Freelancer.com, soko kubwa zaidi ulimwenguni la ufanyakazi huru linalounganisha wataalamu zaidi ya milioni 20 kutoka kote ulimwenguni, na ambayo imepewa tuzo na Chuo cha Kimataifa cha Sanaa za Dijitali na Sayansi pamoja na zawadi kumi kutoka kwa Tuzo za Webby. Hii ni "heshima ya juu kabisa ya mtandao".

    Kwa kawaida, Freelancer.com huunganisha biashara ndogo na watu binafsi kutoka ulimwengu wa magharibi na wafanyakazi huru kwenye mataifa yanayoendelea, na kuwapa uwezo wajasiriamali katika pande zote za dunia. Freelancer Limited iliorodheshwa katika Soko la Hisa la Australia mnamo 2013 na iko na thamani ya kisoko ya zaidi ya dolla billioni $1.

    Pia, Matt ni Mkurugenzi Mkuu wa Escrow.com, kiongozi wa malipo salama ya mtandaoni ambayo imedhibiti zaidi ya malipo ya dolla billioni US$2.7.

    Matt alikuwa Profesa Muongezi Mshirika katika Idara ya Uhandisi wa Umeme na Habari katika Chuo Kikuu cha Sydney ambapo alifundisha Uchoraji kwa miaka kumi na mitano na baadaye, Teknolojia ya Ubunifu wa Teknolojia. Yeye ndiye mwandishi mwenza wa maombi zaidi ya 20 ya hati miliki ya Merika.

    Matt ni msemaji wa kutajika na ametengeneza vichwa vya habari kwenye SXSW, Summit Series, Tony Robbins, The Next Web, New York Times, Bloomberg TV, Wall Street Journal, TechCrunch, BRW, na Economist.

    Hapo awali, alianzisha na akawa Mkurugenzi Mtendaji wa Sensory Networks Inc., kampuni ya uuzaji wa visindikaji vya hali ya juu vya usalama wa mitandao ambazo ziliuzwa kwa Intel Corporation mnamo 2013.

    Mnamo 2006, alipewa Tuzo la State Pearcey kwa mchango wake kwenye sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya simu (Information Technology & Telecommunications, IT&T). Mnamo 2010, alitajwa kama Mwanafunzi wa Mwaka mmoja wa waliopitia kwenye Kitivo cha Uhandisi na Teknolojia ya Habari katika Chuo Kikuu cha Sydney. Mnamo 2011, alitajwa kama Mjasiriamali mtangulizi wa Mwaka wa BRW, na chapisho la kifahari mno la kibiashara nchini Australia pamoja na Mjasiriamali wa Kiteknolojia wa Mwaka wa Ernst & Young. Mwakani 2016, alitunukiwa tuzo la Libertarian wa Mwaka na Shirika la Australia la Libertarian.

    Kwa maswali kuhusu nafasi za mazngumzo, tafadhali andikia speaker@freelancer.com

    Soma Zaidi kuhusu Matt
  • Darren Williams
    Soma Zaidi kuhusu Darren

    Darren Williams

    Mkurugenzi Asiye Afisa BSc (Hons I) PhD (Computer Science) MAICD

    Darren alivuka kutoka kuwa Mkurugenzi mkuu na Afisa Mkuu wa Teknolojia wa Freelancer hadi kuwa Mkurugenzi Asiye na Mamlaka mwishoni 2015. Wakati wake kama mkurugenzi alikuwa na jukumu la uongozi wa mikakati ya utendakazi wa kampuni na wa kiufundi ya kila siku.

    Darren ana uzoefu wa usalama wa kompyuta, mitandao na software. Kabla ya kujiunga na Freelancer, Darren alikuwa mwanzilishi mwenza wa Sensory Networks, kampuni ya usalama wa mitandao, ambapo alishikilia nafasi za Afisa Mkuu wa Teknolojia na baadaye Afisa Mkuu Mtendaji. Awali Darren alihadhiri kwa somo la Sayansi ya Kompyuta kwenye Chuo Kikuu cha Sydney kwenye sehemu tofauti kadhaa za shahada ndogo na kuu.

    Darren ameandika nakala nyingi, patent na makaratasi yanayohusiana na usalama wa teknolojia, software na mitandao, na amezungumza kwenye tamasha nyingi za kimataifa. Darren anashikilia shahada ya daraja ya kwanza kwenye Sayansi ya Kompyuta na Shahada ya juu kwenye Sayansi ya Kompyuta akizingatia mitandao ya kompyuta kutoka kwenye Chuo kikuu cha Sydney.

    Soma Zaidi kuhusu Darren
  • Simon Clausen
    Soma Zaidi kuhusu Simon

    Simon Clausen

    Mkurugenzi Asiye Afisa

    Simon ni mwekezaji mwanzilishi wa Freelancer. Simon ana uzoefu wa zaidi ya miaka 17 katika biashara ya teknolojia ya ukuaji wa juu katika Australia na Marekani. Utaalam wake wa kiufundi ni pamoja na ustadi katika lugha nyingi za ukuzaji wa programu, uchambuzi wa usalama wa kompyuta na kuathirika, na yeye ni mwandishi mwenza na mvumbuzi wa idadi ya hataza za teknolojia.

    Akiangazia programu inayozingatia watumiaji na teknolojia iliyowezeshwa ya Mtandao aliyoanzisha, na alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa WinGuides, ambayo baadaye ikawa PC Tools. Simon kama Mkurugenzi Mtendaji PC Tools zilikua zaidi ya dola milioni 100 katika mapato, zaidi ya wafanyikazi 250 na ofisi katika nchi 7. PC Tools ilinunuliwa na Symantec Corporation (NASDAQ:SYMC) mnamo Oktoba 2008 katika mojawapo ya ununuzi mkubwa wa teknolojia Australia. wakati huo. Kufuatia ununuzi huo Simon alikua Makamu wa Rais wa Symantec, kabla ya kuondoka mnamo 2009 na kuanzisha Startive Ventures, mfuko maalumu wa ubia wa teknolojia. Leo, Startive inadumisha uwekezaji katika idadi ya biashara ndogo ziliofanikiwa kimataifa na Simon anafanya kazi kama Mkurugenzi na mshauri wa kampuni kote ulimwenguni.

    Soma Zaidi kuhusu Simon
  • Patrick Grove
    Pata maelezo zaidi kuhusu Patrick

    Patrick Grove

    Mkurugenzi Asiye Afisa BCom (Syd)

    Patrick ni Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Catcha Group. Tangu kuanzisha Kikundi cha Catcha mnamo 1999, Patrick ameunda rekodi ya kina ya kuanzisha, kujenga, kupata, kuorodhesha na kukuza biashara za kibinafsi na za umma za Kusini-mashariki mwa Asia. Leo, yeye ni pana inayotambulika kama mmoja wa wajasiriamali wakuu katika eneo hili, baada ya kuanzisha na kuchukua biashara 6 za kidijitali kutoka hatua zao za awali kwa toleo la awali la umma nchini Australia na Kusini-mashariki mwa Asia, ikijumuisha Kikundi cha iProperty - ambacho kilinunuliwa na Kikundi cha REA mnamo 2016. katika mojawapo ya ununuzi mkubwa zaidi kuwahi kutokea wa kampuni ya mtandao ya Asia ya Kusini-Mashariki wakati huo; iCar Asia, mwendeshaji wa kuongoza masoko ya magari ambayo yaliunganishwa na Carsome kuunda nyati ya kwanza ya Malaysia; na Frontier Digital Ventures, mmiliki na mwendeshaji wa soko kuu za mtandaoni katika masoko ya mipakani.

    Mnamo Februari 2021 Catcha ilichangisha $300m za Marekani kwa SPAC iliyoorodheshwa ya NYSE ikitafuta fursa katika masoko yanayoibukia. Mnamo Agosti 2023 SPAC ilitangaza makubaliano ya kuunganisha na Crown LNG.

    Patrick anapenda kutumia utaalam wa ujasiriamali na soko la mitaji wa Catcha kusaidia wajasiriamali wakubwa wa teknolojia. na kupeleka makampuni yao kwenye masoko ya umma.

    Ametambuliwa kwa kujitegemea na kwa upana na idadi ya tuzo za kimataifa, ikiwa ni pamoja na: Kiongozi wa Kimataifa wa Kesho na The Jukwaa la Uchumi Duniani; Kiongozi Mpya wa Asia na Jukwaa la Kiuchumi la Dunia; Mjasiriamali Kijana Bora wa Mwaka na Chama cha Australia cha Biashara, Singapore; Mjasiriamali Bora Kijana wa Asia na Biashara ya Bloomberg; na Tuzo la Wahitimu wa 2021 la Chuo Kikuu cha Sydney kwa Mafanikio ya Kimataifa.

    Pata maelezo zaidi kuhusu Patrick
  • Craig Scroggie
    Pata maelezo zaidi kuhusu Craig

    Craig Scroggie

    Mkurugenzi Asiye Afisa Master of Business Administration (MBA)

    Craig Scroggie ni Mkurugenzi Mtendaji na Mkurugenzi Mkuu wa NEXTDC, kampuni ya teknolojia iliyoorodheshwa kwa ASX 100 na kituo bunifu zaidi Asia cha Kituo cha Data . Akiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika tasnia ya ICT, Craig huleta maarifa na ujuzi mwingi kwa bodi ya Freelancer. Katika kazi yake yote, Craig ameshikilia nyadhifa za juu na wakubwa wa tasnia kama vile Symantec, Veritas Software., Computer Associates, EMC Corporation, na Fujitsu.

    Chini ya uongozi wa Craig, NEXTDC imekuwa msingi wa uchumi wa kidijitali wa Australia, ikitoa huduma muhimu kwa biashara nchini kote na zaidi. Anaongoza timu ya wataalam katika kutoa masuluhisho muhimu ya nguvu, usalama na muunganisho kwa watoa huduma wa kimataifa wa kompyuta ya wingu, biashara, na serikali katika kanda yote. Utaalam wa Craig unajumuisha upangaji wa kimkakati na utekelezaji katika mazingira ya teknolojia ya ukuaji wa juu, shughuli za kituo cha data, utawala wa shirika, uvumbuzi na uendelevu.

    Pata maelezo zaidi kuhusu Craig
Meneja Wakuu
  • Neil Katz
    Soma Zaidi kuhusu Neil

    Neil Katz

    Afisa Mkuu wa Fedha B Com (Hons) ACA / EPGC (Stanford)

    Neil Katz ndiye Afisa Mkuu wa Fedha wa Freelancer na ana jukumu la fedha na kudhibiti utendakazi wa Kampuni. Tangu alipojiunga na na Freelancer mnamo Mei 2009, Neil amekuwa nguzo muhimu kwa timu ya umeneja na ameksaidia kuunda miongozo ya kifedha na ya ndani ya Kampuni.

    Neil ana zaidi ya miaka 20 ya uzoefu wa kifedha, uhasibu na umeneja. Neil amshikilia nafasi za Afisa Mkuu wa Fedha kwa kampuni kadhaa za teknolojia, pamoja na IPscape, Threatmetrix, Sensory Networks na Aptrix. Neil ana uzoefu na amejishughulisha kwa kuchangisha fedha za kuanzisha kampuni, kupokea michango ya serikali, kubadilisha mashirika na shughuli za uuzaji. Neil alihusika kwa uuzaji wa Aptrix kwa IBM. Kwa hayo majukumu yake ya awali, Neil amepeana mwongozo wa kifedha ili kusaidia kukuza biashara hizo kwa hadhi ya kimataifa. Pia, amepeana huduma za ushauri kwa baadhi ya kampuni ndogo za kiteknolojia zinazoanza kuhusu ujuzi wa biashara na kuchangisha fedha.

    Kabla ya majukumu yake katika sekta ya teknolojia, Neil alishikilia nafasi kubwa za kifedha katika sekta za usambazaji na rejareja, pamoja na kwenye Checkpoint Systems.

    Neil ana Shahada ya Biashara (Honours) kwa Udhibiti wa Fedha kutoka katika Chuo Kikuu cha Cape Town, South Africa, na ni mwanachama wa Chuo cha Wahasibu wa Australia.

    Soma Zaidi kuhusu Neil
  • Laurent Goudet
    Soma zaidi kuhusu Laurent

    Laurent Goudet

    Afisa Mkuu wa Teknologia BSc (Mathematics and Computer Science) (Honours), MSc (Embedded Systems) (Honours)

    Laurent Goudet ni Afisa Mkuu wa Teknolojia kwenye Freelancer na anahusika na mwelekeo wa kiufundi wa kampuni, kuhakikisha usawa na malengo yake ya biashara. Kabla ya kubadilisha kutoka kwa Msanifu wa Programu kuwa Afisa Mkuu wa Teknolojia mapema 2021 Laurent amekuwa akiongoza mipango anuwai ya kiufundi, kubadilisha Mtandao na wateja wa asili kuwa rafiki-wa-mkono, haraka, na wa kuaminika matumizi ya wavuti, kuinua uzoefu wa mtumiaji na kupunguza gharama za uhandisi.

    Kabla ya kujiunga na Freelancer mnamo Desemba 2013, Laurent alifanya kazi kama mhandisi wa programu zilizopachikwa zaa Linux, akipata ujuzi kiwango cha ndani unaohitajika kuelewa kwa undani vizuizi vya programu ya kiwango cha juu ambavyo vinaunda mpororo wa programu ya kisasa ya wavuti.

    Laurent ana shahada ya heshima za kwanza katika Hisabati na Sayansi ya Kompyuta kutoka Université de Marne-la-Vallée, Ufaransa, Shahada ya Uzamili katika Uhandisi wa Mifumo Iliyopachikwa kutoka ESIEE Paris, Ufaransa, na kusoma nje ya nchi katika Chuo cha Harvey Mudd, Claremont, California.

    Soma zaidi kuhusu Laurent
  • Adam Byrnes
    Soma Zaidi kuhusu Adam

    Adam Byrnes

    Naibu wa Rais wa Bidhaa na Ukuaji BE (Electrical) (Hons I) / BSc (Adv) (Physics)

    Adam Byrnes ana jukumu la kukuza Freelancer kote ulimwenguni, haswa katika masoko ambayo yamejazwa na wenyeji wasiozungumza kiingereza, kama vile Asia na Latin-America. Anaongeza timu za Uhusiano wa umma, yaliyomo, utangazaji biashara na ukalimani, na amekuwa na jukumu la kuanzisha tovuti za Freelancer kimataifa, pamoja na tovuti za kimaeneo 40 na lugha 31.

    Kabla ya kujiunga na Freelancer, Adam alifanya kazi kama mtafiti wa fizikia kwenye Chuo Kikuu cha Sydney kwenye uwanja wa photonics. Kwa wakati huo, alikuwa mwandishi mwenza wa karatasi kadhaa za masomo kwenye chapisho muhimu za fizikia na akaonyesha kazi yake kwenye tamasha la CLEO huko California. Adam pia amewahi kufanya kazi kwenye teknolojia ya mawasiliano kwa Macquarie Group na Aalborg Industries.

    Adam anashikilia shahada ya daraja ya kwanza kwa Uhandisi wa Umeme na Fizikia kutoka Chuo kikuu cha Sydney. na amesomea ulaya kwenye Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara.

    Soma Zaidi kuhusu Adam
  • sebastian
    Soma zaidi kuhusu Sebastián

    Sebastián Siseles

    Naibu wa Rais, Kimataifa JD (University of Buenos Aires) / MBA (University of Pittsburgh) / Marketing Diploma (FAECC, Argentina)

    Sebastián Siseles ana jukumu la kutunga, kuwasiliana, kumudu, na kuambatanisha mpangilio wa upanuaji wa kampuni wa muda mrefu, ukuaji bora na kuongoza timu ya wakurugenzi wa maeneo na mameneja wa nchi kote ulimwenguni. Sebastián pia anahusika moja kwa moja na uzinduzi wa kimataifa, kuanzisha na kushinikiza uwepo wa Freelancer katika masoko yaliyopo na yanayoibuka, kukiwa na kuzingatiwa mno shughuli za kampuni katika Amerika Kaskazini na Na Kaskazini Uropa. Ni mjasiriamali wa Argentina akiwa na Shahada ya juu kutoka chuo Kikuu cha Pittsburgh, Sebastián ana historia ya sheria akizingatia sheria ya kifedha na shahada ya juu kutoka Soko la Hisa la Buenos Aires na Chuo Kikuu cha Southwestern University School of Law on International Business Transactions.

    Kabla ya kujiunga na Freelancer, Sebastián alisaidia kuzindua kampuni kadhaa za tovuti na mawasiliano na pia akahudumu kama Rais, Mkurugenzi, Mshauri Mkuu na Afisa Mkuu katika kampuni tofauti za Mitandao na zisizo za kiteknolojia, huku akiwa anahusishwa na shirika la kifahari la sheria huko Argentina.

    Soma zaidi kuhusu Sebastián
  • Andrew Bateman
    Soma zaidi kuhusu Andrew

    Andrew Bateman

    Mkurugenzi wa Bidhaa (Biashara) B App Sc (IT), RMIT

    Kujiunga na Freelancer mwaka wa 2023, Andrew anaongoza mkakati wa bidhaa na maendeleo kwa kitengo chetu cha biashara. Ana zaidi ya miongo miwili uzoefu kama kiongozi wa teknolojia na bidhaa, hivi majuzi kama mwanzilishi mwenza, CTO na Mkuu wa Bidhaa katika Benchi ya muuzaji ya soko la B2B. Kabla ya hii Andrew alikuwa Mkurugenzi wa Kiufundi wa studio ya dijiti ya Future Büro, akishinda tuzo nyingi za kimataifa ikijumuisha Cannes Lions, Webby na tuzo za D&AD. Andrew ana Shahada ya Kwanza ya Sayansi Iliyotumika (yenye Tofauti) kutoka Royal Melbourne Taasisi ya Teknolojia.

    Soma zaidi kuhusu Andrew
  • Ayen Torcuator
    Pata maelezo zaidi kuhusu Ayen

    Ayen Torcuator

    Mkuu wa Utumiaji wa Wateja Ulimwenguni B PoliSci

    Ayen Torcuator ndiye Mkuu wa Utumiaji wa Wateja Ulimwenguni katika Freelancer.com, ambapo anawajibika kwa kuhakikisha kuwa wateja wanapata huduma na suluhu bora 24/7.

    Ayen ni kiongozi mahiri na mwenye maono ambaye anatekeleza ubunifu na mikakati inayowalenga wateja ili kuboresha kuridhika kwa watumiaji na kukuza uaminifu wa wateja. Anaunga mkono kwa dhati maono ya Kubadilisha Maisha na anachukua jukumu la kujenga usaidizi wenye furaha na utendakazi wa hali ya juu na timu zinazofanya kazi vizuri.

    Ayen ana shahada katika Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Kikuu cha Ufilipino, Diliman na amekuwa kwenye kampuni kwa zaidi ya miaka kumi.

sebastian