Jenga bidhaa zitakazo badilisha maisha

Anzisha taaluma ya kusisimua na Freelancer.com, kampuni inayosukumwa na teknolojia ya data na bidhaa ambapo kila mfanyakazi ana ushawishi, msukumo na anajenga biashara.

Pitia Taaluma Zetu

Panua kuonekana kwetu kimataifa

Watu wetu ndio bora zaidi kote ulimwenguni na ndio wanaosaidia kujenga na kukuza marketplace yetu. Asili yetu ni tofauti, tuna ujuzi tofauti tofauti, tunashughulikia matatizo makubwa na hata madogo, na tunafanya kazi tukitumia baadhi ya lugha tofauti tofauti za kuprogramu, mifumo na teknolojia. Sisi ni jamii ya kimetrokrasia ambapo uadilifu, uvumbuzi na matokeo yanaheshimiwa

Sambaza Maadili Yetu
 • Chukua Usukani
 • Boresha Kila mara
 • Sukumwa na Data
 • Kuwa Bora na Uajiri wale Bora
 • Badilisha Maisha

Penda kazi yako

Watu hufanya kazi nasi kwa sababu tofauti tofauti - sio tu kwa sababu za marupurupu za kiteknolojia. Watu hufanya kazi nasi kwa sababu kuna msisimko, viwango, teknolojia iliyo wazi, msukumo wa kuongeza ujuzi, na ushawishi wa moja kwa moja utakaokuwa nao kwa biashara yetu na bidhaa.

Kufanya kazi kama Mfanyakazi huru

Hii haitakuwa kazi yako ya kawaida. Utajulishwa kwa mwendo wa kasi wa kampuni ya teknolojia inayokuwa. Ikiwa wewe una msukumo wa kipekee na mwenye talanta anayetafuta kazi isiyo ya kawaida kwenye shirika, unataka kufanya kazi na magwiji, hauhitaji kushikwa mkono na unataka kuwa katikati mwa kampuni iliyo na nafasi bora zaidi ya kuwa miongoni mwa tovuti kubwa zaidi Mtandaoni basi tafadhali jiunge nasi.

Get awesome perks

 • Fungua Dashibodi

  Dashbodi yetu ina zaidi ya grafu 5,000 na tunawapatia kila mfanyakazi nafasi. Utaona kile ambacho Mkurugenzi anaona.

 • Teknolojia ya Kipekee

  Jifunze teknolojia mpya, rudishia jamii, na uyazungumzie yetu kwenye mikutano yetu ya kila mara.

 • Hakuna Vizingiti

  Hautahitajika kuhaza fomu, kupingana na wanasheria, ama kuketi hapo tu bila cha kufanya kwa kuwa unasubiri idhini kutoka kwa viongozi.

 • Hackathons

  Hackathon za kila baada ya miezi minne zinakuruhusu ujenge timu na mtatue miradi ya kusisimua mno. Unaweza kushughulikia chochote utakacho.

 • Bidhaa Zinazobadilisha Maisha

  Freelancer ni njia ya mapato ya pekee kwa mamillioni ya watu kote ulimwenguni. Kweli tunabadilisha maisha na unaweza kutusaidia kujenga bidhaa zitakazo badilisha maisha ya watumiaji wetu.

 • Mazungumzo ya Wazi

  Hapa freelancer utaweza kuonekana kwa asilimia 100% kuanzia siku ya kwanza. Tunawasiliana kiuwazi, tukipeana ripoti za hali ya kila sik kutoka kwa wanasaansi wetu wa data, ripoti ya kila juma ya bidhaa na mazungumzo unakoweza kumuuliza Mkurugenzi Mkuu chochote.

 • Ofisi

  Mahali pa vinywaji, pool na ping pong, michezo ya kielektroniki, jikoni zilizojaa, ofisi za wazi, timu ndogo ndogo za utendakazi, mashine za 3d, robot, studio ya Runinga itumikayo kurusha matangazo, skrini nyingi upendavyo, orodha inaendelea...

Njoo ufanye kazi nasi!

Tukiwa na ofisi kote ulimwenguni, huwa tunaajiri kila mara. Tazama nafasi zetu za kazi za sasa hapo chini:

 • Mhandisi wa Linux DevOps

  Freelancer.com

  Kama mwanachama wa timu ya kiufundi ya Freelancer, utakuwa unafanya kazi pamoja na wahandisi wa software kubuni na kufikisha huduma muhimu sana na mifumo.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Software

  Freelancer.com

  Tunatafuta wahandisi wawili wa software kwa ofisi zetu za Sydney. Ikiwa unabobea kwa kujenga vitufe vya tovuti, unafurahia kuandika SQL ya haraka ya dataset kubwa, una uzoefu wa kubadilisha data, na unapenda kubuni Api zenye hali ya juu, basi wewe ndiye mhandisi tunayemtafuta!

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mwanasayansi wa Data

  Freelancer.com

  Timu ya ukuaji ni ya watu tofauti tofauti wakiwemo wanasayansi wa data, wahandisi, wanahesabu, wanatakwimu, wanafizikia na mameneja wa bidhaa. Kwa sasa tunapanua timu yetu ya ukuaji na tunamtafuta Mwanasayansi wa Data.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mjenzi wa Front End

  Freelancer.com

  Tunatafuta wajenzi wa frontend wenye ari ili tujenge mifumo mipya ya tovuti pamoja na kumudu codebase yetu ya HTML/CSS.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mbunifu wa Digital

  Freelancer.com

  Kama mmoja wa timu ya ubunifu ya Freelancer utakuwa unajenga sura ya tovuti inayokuwa haraka zaidi na inayotambulika iliyo na historia nzuri na ndoto kubwa.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mbunifu mkuu wa User Experience (UX)

  Freelancer.com

  Kwa sasa tunamtafuta Mbunifu mkuu wa User Experience (UX) anayedhamini sana teknolojia na ana uzoefu wa kutumia, utafiti, kubuni user experience na kujaribu bidhaa hiyo ili kukuza bidhaa za kipekee.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Wajenzi wa Mobile - Android na iOS

  Freelancer.com

  Utakuwa na jukumu la kujenga vitufe vya simu, kuvilinda na kuviongezea vitu vipya kama tutakavyoongeza kwenye tovuti kuu.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Usalama

  Freelancer.com

  Tunatafuta Wahandisi wa Usalama kufanya kazi kwenye ofisi yetu ya Sydney. Hili ni jukumu kuu kwenye timu ya hali ya juu, ikipeana nafasi ya kufanya kazi na teknolojia za kisasa kwenye mazingira yanayopeana motisha ya kufikiria sana.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Meneja wa Bidhaa

  Freelancer.com

  Timu ya ukuaji ni ya watu tofauti tofauti wakiwemo wanasayansi wa data, wahandisi, wanahesabu, wanatakwimu, wanafizikia na mameneja wa bidhaa. Kwa sasa tunapanua timu yetu ya ukuaji na tunawatafuta Mameneja wa Bidhaa.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mbunifu wa mtandao / Mjenzi wa front end

  Warrior Forum

  Tunamtafuta mbunifu wa mtandao ama mjenzi wa front end anayeishi Sydney ambaye hatajali kuanzisha miradi kutoka kwa umbo hadi ikamilike.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Utangazaji wa Biashara / Mtaalam wa Kutangaza Biashara

  Warrior Forum

  Tunamtafuta mtaalam wa utangazaji biashara kwenye tovuti/mtaalam wa barua pepe ambaye atakuwa na jukumu la kuangalia shughuli za utangazaji biashara za Warrior Forum na utangazaji kupitia barua pepe.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Utangazaji Biashara Kidijitali / Kumudu Yaliyomo

  StartCon

  Nafasi ya kusisimua ya kujiunga na timu ya StartCon/Freelancer.com, ambapo utakuwa na nafasi ya kujenga na kutimiza mipangilio ya utangazaji biashara kupitia njia kadhaa za utangazaji.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Software

  Freelancer.com

  Tunatafuta Wahandisi wa Software kwenye ofisi yetu ya Manila kufanya kazi na teknolojia ya hali ya juu kwenye mazingira ya utendakazi mkuu ya mtandao.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mbunifu wa Digital

  Freelancer.com

  Kama mmoja wa timu ya ubunifu ya Freelancer utakuwa unajenga sura ya tovuti inayokuwa haraka zaidi na inayotambulika iliyo na historia nzuri na ndoto kubwa.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mjenzi wa Front End

  Freelancer.com

  Tunatafuta wajenzi wa frontend wenye ari ili tujenge mifumo mipya ya tovuti pamoja na kumudu codebase yetu ya HTML/CSS.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Linux DevOps

  Freelancer.com

  Kama mwanachama wa timu ya kiufundi ya Freelancer, utakuwa unafanya kazi pamoja na wahandisi wa software kubuni na kufikisha huduma muhimu sana na mifumo.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Meneja wa Bidhaa

  Freelancer.com

  Timu ya ukuaji ni ya watu tofauti tofauti wakiwemo wanasayansi wa data, wahandisi, wanahesabu, wanatakwimu, wanafizikia na mameneja wa bidhaa. Kwa sasa tunapanua timu yetu ya ukuaji na tunawatafuta Mameneja wa Bidhaa.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Usalama

  Freelancer.com

  Tunatafuta Wahandisi wa Usalama kufanya kazi kwenye ofisi yetu ya Manila. Hili ni jukumu kuu kwenye timu ya hali ya juu, ikipeana nafasi ya kufanya kazi na teknolojia za kisasa kwenye mazingira yanayopeana motisha ya kufikiria sana.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Linux DevOps

  Freelancer.com

  Tunatafuta Mhandisi wa Systems kujiunga na Maabara yetu ya Uhandisi ya Vancouver. Kama mwanachama wa timu ya Freelancer ya mifumo, utakuwa unafanyakazi moja kwa moja na wahandisi wa software kubuni na kuwasilisha huduma na mifumo muhimu sana ya kazi.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Software

  Freelancer.com

  Tunatafuta Wahandisi wa Software kwenye ofisi yetu ya Vancouver kufanya kazi na teknolojia ya hali ya juu kwenye mazingira ya utendakazi mkuu ya mtandao.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Wajenzi wa Mobile - Android na iOS

  Freelancer.com

  Utakuwa na jukumu la kujenga vitufe vya simu, kuvilinda na kuviongezea vitu vipya kama tutakavyoongeza kwenye tovuti kuu.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mwanasayansi wa Data

  Freelancer.com

  Timu ya ukuaji ni ya watu tofauti tofauti wakiwemo wanasayansi wa data, wahandisi, wanahesabu, wanatakwimu, wanafizikia na mameneja wa bidhaa. Kwa sasa tunapanua timu yetu ya ukuaji na tunamtafuta Wanasayansi wa Data.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Linux DevOps

  Freelancer.com

  Tunatafuta Mhandisi wa Systems kujiunga na Maabara yetu ya Uhandisi ya London. Kama mwanachama wa timu ya Freelancer ya mifumo, utakuwa unafanyakazi moja kwa moja na wahandisi wa software kubuni na kuwasilisha huduma na mifumo muhimu sana ya kazi.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Software

  Freelancer.com

  Tunatafuta Wahandisi wa Software kwenye ofisi yetu ya London kufanya kazi na teknolojia ya hali ya juu kwenye mazingira ya utendakazi mkuu ya mtandao.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mjenzi wa Front End

  Freelancer.com

  Tunatafuta wajenzi wa frontend wenye ari ili tujenge mifumo mipya ya tovuti pamoja na kumudu codebase yetu ya HTML/CSS.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Wabunifu wa Digital

  Freelancer.com

  Kama mmoja wa timu ya ubunifu ya Freelancer utakuwa unajenga sura ya tovuti inayokuwa haraka zaidi na inayotambulika iliyo na historia nzuri na ndoto kubwa.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Meneja wa Bidhaa

  Freelancer.com

  Timu ya ukuaji ni ya watu tofauti tofauti wakiwemo wanasayansi wa data, wahandisi, wanahesabu, wanatakwimu, wanafizikia na mameneja wa bidhaa. Kwa sasa tunapanua timu yetu ya ukuaji na tunawatafuta Mameneja wa Bidhaa.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Meneja wa Ukuzaji Biashara

  Freelancer.com

  Sasa tunnamtafuta Meneja wa Uendelezi wa Biashara atakayekuwa katika ofisi yetu ya London. Utawauzia biashara zinazoanza na ndogo ndogo kutoka kote ulimwenguni na kuwaongoza katika shughuli ya kutumia tovuti yetu na kuwachagua wafanyakazi huru bora wa kufanyia mradi wako kazi.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi Mkuu wa Linux DevOps

  Freelancer.com

  Tunatafuta Mhandisi wa Systems kujiunga na Maabara yetu ya Uhandisi ya Buenos Aires. Kama mwanachama wa timu ya Freelancer ya mifumo, utakuwa unafanyakazi moja kwa moja na wahandisi wa software kubuni na kuwasilisha huduma na mifumo muhimu sana ya kazi.

  Zaidi kuhusu kazi hii
 • Mhandisi wa Software

  Freelancer.com

  Tunatafuta Wahandisi wa Software kwenye ofisi yetu mpya ya Buenos Aires kufanya kazi na teknolojia ya hali ya juu kwenye mazingira ya utendakazi mkuu ya mtandao.