
Mtazamo wa Kampuni
Freelancer.com ni marketplace kubwa zaidi ulimwenguni ya ufanyakazi huru, kutoa mawazo nje na kutoa kwa umati kulingana na idadi ya watumiaji na miradi.Tunaunganisha zaidi ya waajiri na wafanyakazi huru 60,218,599 kutoka kote ulimwenguni kutoka zaidi ya nchi 247, maeneo na kanda. Kupitia marketplace yetu, waajiri wanaweza kuajiri wafanyakazi huru kufanya kazi katika nyanja za kujenga software, uandishi, uingizaji data na ubunifu hadi kwa uhandisi, sayansi, mauz, uhasibu na huduma za kisheria.
Freelancer Limited inashiriki kwenye Soko la Hisa la Australia chini ya tiketi ya ASX:FLN
Uchumi wa Mtandao Wetu
Video iliyopo hapo chini inaonyesha uchumi wa kimtandao wa Freelancer. Laini za kinyekundu zinaashiria mahali ambapo miradi inatumwa na waajiri, na laini za samawati zinaashiria mahali ambapo miradi inapofanywa na wafanyakazi huru. Laini nzito zinaashiria wingi wa kazi ki-dollaar. Alama nyeupe zinaashiria mahali waliko watumiaji wa Freelancer.

Ilikotoka
Freelancer.com imenunua marketplace kadha za utumiaji pamoja na GetAFreelancer.com na EUFreelance.com (zilizoanzishwa na Magnus Tibell mnamo 2004, nchini Sweden), LimeExchange (biashara ya awali ya Lime Labs LLC, USA), Scriptlance.com (iliyoanzishwa na Rene Trescases mnamo 2001, nchini Canada, watangulizi wa kwanza kwa ufanyakazi huru), Freelancer.de Booking Center (Ujerumani), Freelancer.co.uk (Uingereza), Webmaster-talk.com (USA), kikao cha webmasters, Rent-A-Coder na vWorker (iliyoanzishwa na Ian Ippolito, USA, mtangulizi mwingine kwenye fani ya ufanyakazi huru).

Freelancer Limited
Ofisi Iliyosajiliwa
Level 37
Grosvenor Place
225 George Street
Sydney, NSW 2000
Australia
ACN 141 959 042
support@freelancer.com