Onekana kutoka kwa umati kwa kuwa Mfanyakazi Huru Anayependelewa

Jiunge na Mpango wa Preferred Freelancer leo ili kufikia miradi ya kipekee na uweze kuonyesha profaili yako kama mojawapo ya ile bora.

Jiunge Bila Malipo
Nembo ya Mialiko ya Kipekee

Mialiko ya Kipekee

Wafanyakazi Huru Wanaopendelewa hupokea mialiko ya kibinafsi kila siku kutoka kwa timu yetu ya Wasajili ili waweke zabuni kwenye miradi yao mikuu.

Nembo ya Dhamani ya Juu

Miradi ya thamani kubwa

Wahi miradi yenye badhi ya bajeti kubwa zaidi kwenye tovuti! Kwa kadri, Wafanyakazi Huru Wanaopendelewa hushinda asilimia 50% ya miradi yote iliyokamilika zaidi ya $2000.

Nembo ya malipo ya kabla

Pigia malipo ya mbele kwaheri

Preferred Freelancers wanafurahia mpango wa kipekee wa ulipaji ada, na kulipia tu ada za ujira kwenye miradi ya Recruiter pindi hatua zinapowachiliwa.

Fikisha taaluma kwenye hatua nyingine

Mfumo wa Preferred Freelancer unawapa wafanyakazi huru msaada wanaohitaji ili wawe na utendakazi wa kuridhisha ya ufanyakazi huru. Soma zaidi kuhusu baadhi ya hadithi za kusisimua.

Mawasiliano bora kati ya mameneja na wafanyakazi huru

Kuza mapato yako katika miezi 6 ya kwanza

Preferred Freelancers hulipwa kwa kadri $1000 zaidi katika kipindi cha miezi 6 zao za kwanza katika Mpango, na wana nafasi ya kipekee ya kuwekea zabuni zaidi ya miradi 100 kwa siku.

Viboresho kuhusu mradi wako moja kwa moja hadi kwa sanduku lako

Miradi bora, ya kipekee ya Wafanyakazi Huru Wanaopendelewa

Kutoka kwa kubuni zana tumizi za biashara inayoanza hadi kubuni utambulisho mpya wa biashara, Miradi ya Wasajili ni baadhi ya miradi bora kwenye tovuti kutoka kwa waajiri wetu wakuu.

Miradi Bora

Ni rahisi kutuma ombi

Kutuma ombi la kujiunga na Mpango ni bure na itakuchukua dakika chache tu za wakati wako. Angalia uone ikiwa unastahiki leo!

1. Tazama alama zako

Tazama mara moja ikiwa profaili yako inafikia mahitaji ya kujiunga na mpango.

2. Tueleze kukuhusu

Tunataka kujua zaidi kuhusu wafanyakazi huru wetu wakuu. Tueleze kuhusu kazi yako, wateja wako na matarajio yako ya siku za usoni.

3. Chukua ukaribisho

Jifunze zaidi kuhusu programu, inayojumuisha vidokezo muhimu vya mazoezi na yale tunayotarajia kutoka kwako kama mmoja wa wafanyakazi huru bora.

4. Tayari kuanza

Umetulia? Tayari? Anzia! Usisahau kushiriki uzoefu wako nasi kwenye blogu yetu!