undefinedundefined
Ingia
Jisajili
Omba Demo

Biashara ya Freelancer

Huwezesha mashirika makubwa kuharakisha ukuaji wao kwa gharama ya chini. Fikia wafanyikazi wa kimataifa wa wafanyikazi huru zaidi ya milioni 42 kuendesha ubunifu wa shirika lako kwa upana, haraka zaidi, na kwa sehemu ndogo tu ya bei. Huwezesha mashirika makubwa kuharakisha ukuaji wao kwa gharama ya chini.

Omba Maonyesho
undefined

Wafanyakazi wa Kimataifa

Freelancer.com (ASX: FLN), ambayo imeshinda tuzo la Webby mara kumi ni jukwaa kubwa zaidi la utendaji kazi huru na utafutaji kutoka kwa umati lenye zaidi ya watumiaji milioni 42 kutoka nchi zaidi ya 247, mikoa na wilaya, katika lugha 34 na sarafu 39. Hakuna soko lingine huru la kimataifa kama Freelancer.com.
undefined

Wenye Ujuzi Mkubwa, Kwenye Mahitaji

Zaidi ya asilimia 80 (80%) ya kazi mkondoni hupokea zabuni ndani ya sekunde 60. Kazi katika eneo maalum hupata zabuni kwa wastani kati ndani ya dakika 25 - inakua bora mwezi hadi mwezi. Hakuna soko lingine la wafanyakazi huru ambalo ni kioevu kama Freelancer.com
undefined

Hakuna Ada

Freelancer Enterprise haina ada ya ufikiaji, usajili wa lazima, ada ya kila mwezi au ada ya kila mwaka. Hakuna ada ya kuchapisha mradi au akaunti ya kuweka mtumiaji. Pia, asilimia za faida ya mwajiri na ada ya kuboresha zimeondolewa kwa wateja wa kiasi kikubwa.
Kijipicha cha Organization Unlimited

Organization Unlimited

Tazama Naibu Rais wa Enterprise Sarah Tang akijadili mustakabali wa Kazi kwa Enterprise.
Kijipicha cha ripoti rasmi ya Nasa

NASA | Harvard Whitepaper

Matokeo ya kushangaza kutoka kwa umati mkubwa kwa kutumia ununuzi wa Mashindano Madogo- kutumia mashindano kwenye jamii za wafanyakazi huru kutafuta suluhu zenye ubunifu, zenye matokeo mazuri na za gharama nafuu
FREELANCER PEKEE

Covid-19 na Utendaji Bora wa Wafanyakazi

Covid-19 inaunda mahitaji yanao badilika katika shirika lako. Peleka talanta yako ya ndani kwa haraka katika maeneo ambayo ni muhimu zaidi kwa biashara yako ili kukua haraka. Algorithm yetu linganishi inayoendeshwa na akili bandia pamoja na programu ya usimamizi wa rasilimali inaweza kukuwezesha kuongeza matumizi ya wafanyikazi, haraka. Ongeza ufanisi wa wafanyi kazi wako kupitia shida hii na uweke talanta yako bora zaidi kwenye orodha yako ya mishahara. Kampuni elevu zinaona fursa katika mtikisiko huu. Biashara ya Freelancer inaweza kukuwezesha kuwa mwepesi na kujibu mabadiliko.
undefined
FREELANCER PEKEE

Ujuzi wowote unaohitaji, tunaweza kukusanya asili mia moja (1%) bora katika Wingu lako binafsi la Freelancer

Ikiwa unahitaji timu ya washauri wa usimamizi, wataalam wa kufunza mashine au wahandisi wa huduma za mashambani katika eneo lako, chagua kutoka kwa wafanyakazi huru wenye zaidi ya ustadi 1,600 tofauti ambao wamechunguzwa kwa makini kabla na kupitishwa kulingana na vigezo vya mafanikio uliyofafanua mwenyewe.
Wasiliana Nasi
FREELANCER PEKEE

Ubora, uliotolewa kwa wakati na chini ya bajeti

Wasimamizi wetu wa Mradi wa Enterprise huhakikisha unapata wafanyakazi huru kwa kazi ya ubora wa hali ya juu inayowasilishwa kwa wakati. Wao huhakikisha kiwango cha hali ya juu na mtiririko wa kazi kutoka mwanzo hadi kukamilika kwa mradi.
undefined
undefined
FREELANCER PEKEE

Talanta inakutana na utiifu kama huduma

Iwe unataka kuajiri moja kwa moja, kuchapisha mradi au shindano, huduma zetu za utiifu zikiunganishwa na talanta, kulinganisha algorithimi na huduma zilizosimamiwa zitakukinda kutoka kwa hathari ya uainishaji wa wafanyikazi na kukutafutia talanta bora haraka.
UTAFITI

NASA hutumia Freelancer Enterprise ili kutafuta kwa umati uwezo wa uvumbuzi wa binadamu.

Zaidi ya miundo 230 iliwasilishwa na wafanyikazi huru katika shindano la muundo wa programu ya saa za kisasa ili kutumiwa na wanaanga kwenye Kituo cha Anga cha Kimataifa.
Meneja wa ufanisi wa miradi halafu wakasaidi =a NASA kuajiri watengenezaji wa programu na kuasilisha programu iliyokamilika.
UTAFITI

NASA hutumia Freelancer Enterprise ili kutafuta kwa umati uwezo wa uvumbuzi wa binadamu.

Zaidi ya miundo 230 iliwasilishwa na wafanyikazi huru katika shindano la muundo wa programu ya saa za kisasa ili kutumiwa na wanaanga kwenye Kituo cha Anga cha Kimataifa.
Meneja wa ufanisi wa miradi halafu wakasaidi =a NASA kuajiri watengenezaji wa programu na kuasilisha programu iliyokamilika.
undefined

Gundua faida za Biashara ya Freelancer

undefined

Ongeza uaminifu

Suluhisho letu la uttifu na uainishaji wa wafanyikazi, pamoja na huduma ya ukaguzi na mawakili wa Amerika, itahakikisha faraja yako kwa kushirikiana na wafanyikazi wa wingu ulimwenguni. Uhakikisho wetu wa dhati wa kujua-mteja wako na udhibitishaji wa utambulisho utakuruhusu ushirikiane kwa imani.
undefined

Ujiendeshaji wa Mtririko wa Kazi

API yetu iliyoangaziwa kikamilifu inaweza kukusaidia kufuatilia kasi ya ujiendeshaji wa wafanyikazi na kuachilia wakati wa wafanyikazi wako kuzingatia kile kilicho muhimu. Jumuisha moja kwa moja kwenye programu yako, mifumo ya ndani au mifumo ya nyuma na kupiga simu za API kwenye wingu letu la kazi kwa wafanyikazi huru.
undefined

Huduma zilizosimamiwa

Tuna timu ya lugha nyingi ya Wasimamizi wa Miradi ya Biashara kwenye kanda zote za saa na jiografia ambazo ziko tayari kukusaidia kupata mfanyikazi huru bora, shughulikia mashindano yako au kusaidia katika mradi unaosimamia shughuli zako.
undefined

Uwazi Kamili

Tunaelewa kuwa unataka ubora na matokeo unayolipia. Programu ya ufuatiliaji wa wakati hupima matokeo, utekaji wa skrini moja kwa moja na njia za kupitisha kwa vinavyowasilishwa ili uweze kutoa maoni kwa muda halisi.
undefined

Ongeza Maarifa

Pima mafanikio yako na ufuatilie data ambayo ina maana kwako. Pata ripoti kwa muda halisi juu ya metriki ikiwa ni pamoja na utumiaji na utumie fedha kwenye dashibodi yako ya kipekee.
undefined

Nyorosha Upokeaji wa Ndani

Tutapeana warsha, mafunzo ya video na huduma ya kipaumbele 24/7 kukusaidia kuanza kazi. Wataalam wetu wa kiufundi na mafunzo wako tayari kuandaa wafanyakazi wako juu ya kazi siku za usoni.

Zaidi ya asilimia 80 (80%) ya Kampuni za Fortune 500 hutumia Freelancer.com ili kuharakisha wakati wao wa kuuza

undefinedundefined

Uko tayari kuanza?

Wasiliana na Timu yetu ya Enterprise leo
Wasiliana Nasi
Logo ya Freelancer
Kenya / Kiswahili
Huduma na Usaidizi
Mfanyakazi Huru
Vitengo
Miradi
Mashindano
Wafanyakazi Huru
Shirika
Mpango wa Preferred Freelancer
Kumudu Mradi
Kazi za Maeneo
Picha Mahali popote
Onyesho
API ya wajenzi
Thibitishwa
Kuhusu
Kutuhusu
Inavyofanya Kazi
Usalama
Mwekezaji
Sitemap
Hati za bei
Habari
Sheria
Sera ya Faragha
Sheria na Masharti
Sera ya Uhati Miliki
Kanuni za Maadili
Ada na Malipo
Vitufe
Nembo ya Programu ya Duka la Apple
Logo ya Google Play
Imeshindwa kunakilia, tafadhali pakia upya ukurasa huu ili urekebishe       ruhusa
Imenakiliwa kwenye ubao wa kunakili.
Watumiaji Waliosajiliwa Jumla ya Kazi Zilizochapishwa
Freelancer ® is a registered Trademark of Freelancer Technology Pty Limited (ACN 142 189 759)
Copyright © 2021 Freelancer Technology Pty Limited (ACN 142 189 759)
There is no internet connection