Waeleze Wafanyakazi huru unachohitaji

Wafanyakazi huru wawasiliane nawe

Unamchagua Mfanyakazi huru bora

Kwa kubonyeza "Pokea Maombi ya Bure" unaashiria kuwa unakubaliana na Sheria na Masharti na Sera ya Faragha

Wataalam
Miradi

Kupata kwenye Freelancer

Peana kwa Umma kazi za kampuni yako ama biashara kwenye Freelancer ili zifanywe haraka na kwa robo ya gharama. Tunakuunganisha kwa zaidi ya wafanyakazi huru millioni 23.3 wenye ujuzi mwafaka kutoka kote ulimwenguni bila haja ya kuweka matangazo ya kazi ama kupeana sehemu ya kufanyia kazi, bima, n.k. Iwe ni tovuti inafaa kujengwa, kadi za biashara ama stakabadhi za ofisi zinazohitajika kubuniwa, bidhaa inayofaa kubuniwa ama kujengwa, Freelancer inaweza kukusaidia kuifanya. Unaweza kuajiri mfanyakazi huru kwa aina yoyote ya mradi kama:

 • Kubuni Logo, kadi za biashara, kubuni picha
 • Ubunifu wa Tovuti
 • Huduma ya kiufundi kwa tovuti ama kompyuta
 • Utafiti wa soko
 • Utafutaji soko kwa simu
 • Kurahisisha uonekanaji wa tovuti yako
 • Kuandika kwa kompyuta vitabu na daftari nyinginezo
 • Kutafsiri yaliyoko kwenye tovuti na stakabadhi nyingine
 • Kutayarisha faili za PowerPoint
 • Uingizaji Data
 • Ubunifu wa bidhaa ama utengenezaji
 • Uchoraji wa nyumba na majengo
 • Tunao wafanyakazi huru kwa mahitaji yako. Waajiri wanaweza kuajiri wafanyakazi huru kuanzi $30, huku mradi wa kawaida ukikamilika kwa Dolla $200. Haijalishi ni soko ipi unayotaka kufikia, utapata Wafanyakazi huru kutoka katika pembe zote za ulimwengu tayari kuvukisha biashara yako mipaka ya kawaida. Wafanyakazi huru wetu wako tayari kukufanyia kazi sasa.

  Tuna maelfu ya wafanyakazi huru wenye bidii tayari kukufanyia kazi. Wafanyakazi huru wetu maarufu wanajumuisha:

  Graphic Designers PHP Developers Website Designers Web Developers Logo Designers Mobile Developers Software Architecture Developers Android Developers Excel Experts Article Writers SEO Writers