Nukuu Shujaa 50m

Freelancer.com imegonga rasmi watumiaji milioni 50 waliosajiliwa ulimwenguni.

Hii ni hatua muhimu sana kwa Freelanceer.com na kwenyu wote mlio katika jamii yetu ya kimataifa.

Kama sehemu ya sherehe zetu, tumegawa zawadi za thamana zaidi ya US$5,000 katika shindano letu ili kupata 'nyuso mpya za Freelancer'.

Kwa hatua hii spesheli, tafadhali pia tueleze ambacho Freelancer inamaanisha kwako.