Kanuni ya Utendakazi ya Freelancer

Freelancer ina wajibu wa kufanya biashara yake kulingana na kanuni, kanuni na sheria zote zinazotumika. Tumejitolea kusaidia Watumiaji wote kutenda kwa njia ambayo inalinda uaminifu na heshima. Kanuni hizi ni kama mwongozo wa kutumia Tovuti yetu ipasavyo na lazima ifuatwe kila wakati. Ukiukaji wa Kanuni hizi hushughulikiwa kulingana na Sera yetu ya Ukiukaji ambayo itasababisha hatua za kinidhamu, hadi, na pamoja na, kufungiwa akaunti. Maswali yoyote kuhusu Kanuni hii yanapaswa kuelekezwa kwa Timu ya Usaidizi ya Freelancer ambapo tunaweza kukupa maelezo ya ziada kuhusu utaratibu sahihi wa kufuata, na kushughulikia wasiwasi wowote ambao unaweza kuwa nao.

Tabia ya Kibinafsi

 • Nita kuwa wa heshima.
 • Nita heshimu sera za Freelancer.
 • Nita heshimu haki za Watumiaji wote.
 • Sitatumia habari za siri, au kushiriki katika vitendo vingine vyovyote haramu.
 • Nita kuwa na heshima kwa Haki, Usalama na Utendakazi wa Watumiaji.
 • Sita dhulumu, nyanyasa wala kubagua.
 • Sita danganya kuhusu utambulisho wangu ama wowote ule na nitapeana maelezo ya ukweli na sahihi.
 • Sita tafuta kuwasiliana au kupokea / kuanzisha malipo nje ya tovuti.
 • Sita kubali kufanya kazi ambayo sina uwezo wa kuifanya.
 • Sitaomba kuwachiliwa kwa Malipo ya Hatua kabla sijawasilisha kazi.
 • Sita dhuluma huduma zinazotolewa na mfanyakazi huru wa kuajiriwa.

Mambo ya Mtumiaji

Chochote nitakachoweka kwenye Freelancer ni jukumu langu na:
 • Sita tuma mambo ambayo yanatishia hati miliki ama ruhusa za mali ya kisomi.
 • Sitatuma maelezo ambayo yanakiuka sheria yoyote ama mwongozo.
 • Sitatuma maelezo ambayo ni ya matusi.
 • Sitatuma maelezo ambayo yana ngono na yanadhalilisha watoto kingono.
 • Sitachapisha maandishi ambayo yana habari isiyokamilika, ya uongo, au sio sahihi kuhusu mtu yeyote, bidhaa, ama huduma.
 • Sita tuma mambo ambayo yana virusi vya kiteknolojia ama mipangilio ya kuprogramu yanayolenga kuharibu mfumo.
 • Sita tuma mambo ambayo yanatishia mipangilio ya Freelancer ama kudhuru biashara zake ama sifa.

Usiri

 • Nita heshimu usiri na ubinafsishaji.
 • Sita onyeshana maelezo ama stakabadhi ambazo nimepokea, kando na inavyohitajika na sheria ama penye idhini inapeanwa na Freelancer.

Kuwasiliana

 • Sita wauliza watumiaji wengine wa Freelancer maelezo yao ya mawasiliano ya kibinafsi na watawasiliana nao kupitia tu njia rasmi a tovuti.

Ukora

 • Sita jihusisha katika ulaghai.
 • Sita tunga akaunti mbadala.
 • Sitatumia Tovuti kuhamisha fedha kwa njia isiyo halali.
 • Sita tumia Tovuti kupeana habari za uwongo, kumhusu mtu yeyote, bidhaa ama huduma.

Mawasiliano

 • Nita epukana na uongo, matamshi ya matusi na misemo isiyokuwa mizuri.
 • Sita shiriki kwa kuwavamia watu, kuwadhalilisha na vitendo visivyofaa.

Kuzabunia

 • Sita zabuni kwa kiwango cha chini ili kuokoa ada.
 • Sitashiriki katika miradi inayohusisha vitendo haramu.
 • Nita weka zabuni tu kwa ile mradi ninayokusudia kukamilisha.

Spam ama Kutangaza biashara

 • Sita tangaza tovuti yangu ama huduma ikiwa sitakuwa nimeruhusiwa.

Wahusika

 • Sita jielekeza kwa Mpango wa Uhusishaji.
 • Sita chukua majina kutoka kwenye orodha ya wawasilianaji, vikundi vya barua pepe, n.k, ili kutoma barua zisizohitajika ("Taka").

Malipo

 • Sita use Freelancer hamisha fedha, ikiwemo, cryptocurrency (e.g. bitcoin, ethereum, etc).
 • Nita timiza majukumu yangu baada ya kazi kuwasilishwa na mfanyakazi huru.