Pata kazi unayoipenda, mtandaoni

Fanya kazi kwa kila unachotaka, wakati unapotaka, kutoka mahali unapotaka. Onyesha talanta zako na ujuzi kwa ulimwengu na ulipwe kwa hayo hata bila ya kuondoka nyumbani.

Iwe unatafuta kazi ya ziada ili kuongezea mapato yako ama unataka kupanua ukumbi wa wateja wako wa biashara yako iliyopo, utapata nafasi nyingi zaidi kutoka kwa waajiri ambao wanatafuta talanta zako kwenye Freelancer.com

Hapa Freelancer.com, tunakuletea waajiri na kazi kwako. Hakuna matangazo ghali ya biashara, maombi yasiyoeleweka ya kazi ama kadi za biashara zinazohitajika. Yaani hakuna njia rahisi zaidi ya kupata kazi kuliko hii.

Ili kuanza, Jisajili Sasa ama pitia vitengo vya KAzi za Juu hapo chini.

Unapania kuajiri?

Tuma Mradi

Unatafuta Kazi?

Jisajili Sasa

Vitengo Vikuu vya Kazi

Onyesha zaidi..