Anzisha biashara yajo Mtandaoni kwa kumtumia Mbunifu wa Tovuti

Iwe ni blogu, duka la mtandaoni ama tovuti ya kibinafsi, kumuajiri mjenzi huru wa kujenga tovuti yako ndiyo njia bora zaidi ya kufikisha biashara yako kwenye tovuti.

Tuma Mradi
Mchoro wa laptop

Tuma Mradi

Kupata mbunifu huru wa tovuti mzuri ni haraka na rahisi. Chapisha tu mradi na upokee mapendekezo ya bure kutoka kwa wabunifu bora zaidi ulimwenguni kwa sekunde chache tu.

Onyesho la jumbe za chat

Shirikiana

Zungumza na wajenzi huru wa kitaalam kuhusu maombi yao na uzoefu wa awali kabla uwatuze mradi na kuwaajiri.

Mchoro wa medali

Kuridhika Kunahakikishiwa

Lipa kiusalama ukitumia mfumo wetu rahisi wa malipo. Utawachilia tu malipo kwa mikondo na iwapo utaridhika kwa asilimia 100% kuwa kazi imekamilika.

Fanya iwe ya kisasa jinsi unavyochukulia biashara

Utakuwa wazi 24/7

Kuwasilisha biashara yako kwenye mtandao ukitumia tovuti ya kitaalam ni njia bora ya kukuza biashara na kujumuika na wateja pasipo na kizuizi cha wakati ama mahali.

Onyesho la ni nini tovuti yako inaweza kuwa
Tovuti imebuniwa kwa $800 USD na creationidea kwenye Freelancer Tuma Mradi kama huu
Onyesho la jumba la taa

Kuonekana

Je, ulijua kuwa asilimia 44% ya wanunuzi kwenye mtandao huanza kutafuta bidhaa na huduma kwa kutumia injini ya mtandao ya utafutaji? Ukiwa na tovuti iliyopangwa kisawasawa ndio siri ya kuongeza wageni, miongozo na mauzo mtandaoni.

Onyesho la kituo cha redio

Fikia

Unatafuta kupanua msingi wako wa wateja? Zaidi ya watu billioni 2.4 kote ulimwenguni hutumia mtandao, asilimia 90% kwa hao wamenunua kitu ama kufanya biashara fulani mtandaoni. Usikose kipande kikubwa cha pai!

Onyesho la bodi ya dart na mshale

Shindano

Kuwa tofauti katika umati na tovuti iliyobuniwa vyema na mpango mzuri wa kujumuika na wateja wako. Vunja kuta zote kati yako na washindani wako na uonyeshe kazi yako katika soko la mtandao.

Wasilisha Biashara Yako Mtandaoni

Je, ulijua kuwa asilimia 85% ya watumiaji mtandao hutumia tovuti kutafuta biashara za maeneo waliko?

Kama mmiliki wa biashara katika eneo, kuwa na tovuti nzuri ni muhimu mno kwa kuwa watu wengi zaidi katika eneo lako hutumia tovuti kupata maelezo ya uwasilianaji na ya bidhaa. Kukosekana kwa tovuti kunaweza kumaanisha tofauti ya mteja kutambua biashara yako ama kutokujua.

Onyesho la tovuti iliyobuniwa kwa $190 USD na creationidea kwenye Freelancer.
Tovuti imebuniwa kwa $190 USD na creationidea kwenye Freelancer

FIka pembe zote za Dunia

Ukiweka biashara yako mtandaoni na iwe na tovuti nzuri, itamaanisha kuwa hauzuiliwi tu kufanya biashara katika jiji lako.

Tovuti hukuruhusu kuorodhesha huduma unazoweza kupeana, bidhaa unazouza, na kukusanya miongozo kutoka kwa wateja watarajiwa. Fikia wateja zaidi na tovuti ya kitaalam, kwa kumuajiri mjenzi huru wa kitaalam leo.

Onyesho la tovuti iliyobuniwa kwa $120 USD na shashankbinjols kwenye Freelancer.
Imebuniwa kwa $120 USD na shashankbinjols kwenye Freelancer.
Onyesho la Mradi

Pitia baadhi ya Miradi Maarufu ya Uendelezaji wa Vitufe vya Mobile

Jenga tovuti ya kisasa Nahitaji tovuti ibuniwe itakayoonekana vyema kwa kompyuta na vifaa vya mobile. Tovuti hii inapaswa kuwa ya kazi haswa kwenye mobile.
Buni mandhari ya Wordpress Naanzisha tovuti ya wordpress, na nahitaji mandhari ya kipekee yajenwe, inayoambatana na kitambulisho changu, pamoja na; blogu, bidhaa na kurasa za uwasilianaji.
Ongeza vitu vya kutumia katika tovuti yangu Tovuti yangu ya sasa inahitaji kuongezwa vitu zaidi. Pia nahitaji kukusanya maelezo ya uwasilianaji ya wateja wanaponunua.
Tunga duka la Mtandaoni Nahitaji tovuti iliyo na duka ya mtandaoni. Nataka kupokea malipo kupitia kadi za malipo na paypal. Ninazo bidhaa 50 tayari kuuza.