Tafsiri sasa na Uuzie wateja Wako kwa Lugha Yao

Asilimia 72.4%1 ya wateja wanapendelea kununua bidhaa kutoka kwenye tovuti zinazotumia lugha yao

Tuma Mradi

Pata Ukumbi Wako

Je unawauzia wateja walioko ng'ambo?

Kuna uwezekano kuwa tovuti yako imeandikwa kwa kiingereza, sawia na washindani wako. Haswa, kutafsiri tovuti yako ni njia bora zaidi ya kuwafikia watu zaidi. Asili mia 90% ya wateja wa mtandaoni huzungumza tu lugha 13.

Onyesho la lugha zinazozungumzwa sana ulimwenguni.

Tambua inavyowezekana

Anza Kutafsiri Tovuti Yako

Onyesho la mmea unaochipuka.

Anza Kidogo

Kutafsiri tovuti yako yote huwa ni jukumu kubwa mno. Anza na kurasa zako muhimu na lugha zinazochangia wageni wengi zaidi na mauzo kwenye tovuti yako.

Onyesho la grafu ya laini

Tazama Data

Tumia Google Analytics kutazama mahali wateja wako wanaishi. Ikiwa unapokea wageni wengi kutoka America Kaskazini ama Uchina, basi kutafsiri tovuti yako kwa Kihispania ama Mandarini ni njia bora ya kuanza.

Mchoro wa bendera inayosema jambo

Ajiri Msemaji wa Kiasili

Hakikisha kuwa maelezo yote yako sawa, kwa kumuajiri mkalimani anayefaa mradi wako. Tuma mradi, ama pitia saraka yetu ya ufanyakazi huru ili kuoata wataalam wakuu ulimwenguni. Kisha uwaajiri, kwa kubonyeza tu.

Shuhuda

"Ujerumani ni soko muhimu sana kwa biashara yangu. Nilitumia Freelancer kumpata msemaji wa kiasili wa Kijerumani kutafsiri tovuti yangu, na nilifurahia sana matokeo."

Emma McCormack

Mchoro wa kioo kongezacho ukubwa

Ongeza trafiki ya utafutaji kwa asilimia 47%

Je wajua kuwa kwa kutafsiri tu tovuti yako kunaweza kuongeza idadi ya wageni kwa asilimia 47%2. Google na injini zingine za utafutaji wa mtandaoni huorodhesha yaliyomo kulingana na inavyomfaa mtumiaji na lugha huchangia pakubwa kwa watumiaji wa kimataifa. 2 Neil Patel

Onyesho la grafu ya laini

FIkia Soko Mpya

Kulingana na Harvard Business Review, asilimia 72.1%1 ya wateja hutumia muda wao mwingi ama wote wakiwa kwenye tovuti zinazotumia lugha yao . Hii inamaanisha kwa kupeana tovuti kwa lugha moja tu, unawafungia nje idadi kubwa ya wateja wapya. 1 Harvard Business Review

mchoro wa mtu.

Pata mfanyakazi huru Anayefaa kazi yako

Kumpata mkalimani mtaalam hakujawahi kuwa rahisi - kwanza, inakuchukua tu dakika chache. Jibu tu maswali machache na kwa muda usiokuwa mrefu, wafanyakazi huru kutoka kote ulimwenguni wataalikwa kutafsiri tovuti yako kwa lugha yao asili.

Uza Bidhaa Yako

Panga bidhaa yako na mauzo iwafae wateja wako. Kutafsiri neno kwa neno huwa hakufai ikiwa unajaribu kujiunganisha na ukumbi wa eneo fulani. Ajiri msemaji wa lugha ya unakolenga aongeze kiungo kwenye nakala ya mtandao wako.

Tuma Mradi Ajiri Wakalimani Bora
Onyesho la tovuti ikitafsiriwa hadi lugha tofauti.

Jizuie Kupotea kwenye Utafsiri

Utakapo jumuika na wateja kwenye mitandao ya kijamii ama barua pepe, hakikisha mazungumzo yenu ni safi kabisa - kusiwe na kasoro za kuudhi za Google Translate!

Tuma Mradi Pitia kazi za Ukalimani zilizo wazi
Mchoro wa kusema jambo katika lugha tofauti.

Onyesho la Mradi

Pitia baadhi ya Miradi Maarufu ya Ukalimani

Tafsiri nakala yangu ya blogu Ninayo nakala ya blogu niliyoiandika kwa Kiingereza ninayohitaji itafsiriwe hadi kwa Kichina.
Msemaji wa kiasili wa Kifaransa anahitajika Namtafuta msemaji wa kifaransa wa kiasili atakayenisaidia kuzungumza na wateja kupitia simu.
Tafsiri tovuti yangu Nahitaji wakalimani watatu warudie kuandika tovuti yangu kutoka kwa kiingereza hadi kwa Kihispaniola na Kijerumani.
Andika maneno 500 kwa Kiitaliano Tafadhali andika blogu yenye maneno 500 kwa Kiitaliano ambayo imefanyiwa utafiti wa maneno ya kiasili.