Kamilisha miradi kwa wakati, kwa bajeti na bila tatizo

Waruhusu wataalam wetu wakupatie mawaidha na kushugulikia utendakazi wa mradi wakati unazingatia mambo muhimu.
Ajiri meneja wa mradi leo!

Wasiliana leo
Project Manager Illustration

Okoa muda na uepuka vikwazo

Meneja wetu wa Mradi atakusaidia kuunganisha wafanyakazi huru kutoka katika sehemu tofauti ulimwenguni, kuwatazama na kuhakiksha uwasilishaji kwa wakati. Watatengeneza stakabadhi za mradi, kugawanya miradi mikubwa kwa sehemu ndogo ndogo na zaidi.

Mawasiliano bora kati ya mameneja na wafanyakazi huru

Pokea uelekezi wa kitaalam

Ikiwa unahitaji mzinduzi mwenza wa kiufundi, tupo hapa kukusaidia! Wataalam wetu watafafanua maelezo ya kiufundi na kukusaidia kufanya maamuzi ya uhakika. Pia tunaweza kukusaidia kumchagua mfanyakazi huru bora zaidi na kuhakikisha uwasilishaji wa hali ya juu.

Updates on your project straight to your inbox

Kwa wakati, kwa bajeti na kwa saa

Meneja wetu wa Mradi atakusaidia kumudu wafanyakazi huru kutoka maeneo tofauti ya saa, tunga muda ufaao, hakikisha kuwasilisha kwa saa, gawa miradi mikubwa kwa sehemu ndogo na upange mipangilio.

Muda Uliowekwa
Nembo ya Uwezo Mzuri wa Kifedha

Saa ya kwanza ni bure

Katika saa ya kwanza, Meneja wako wa Mradi atakusanya mahitaji yako na kuchukua hatua ya kwanza ili kufanya mradi wako uweze kufaulu. Jaribu sasa!

Nembo ya kundi la kufanya kazi la kimataifa

Lipa kwa saa

Ajiri meneja wa mradi kwa gharama ya $20 kwa saa, inatozwa kwa juma. Tutatoza tu masaa yaliyotumika na kuiweka wazi kupitia kwa ripoti.

No Fees Icon

Batilisha wakati wowote

Ikiwa kwa wakati wowote utabadilisha nia yako, unapaswa tu kumjulisha Meneja wako wa Mradi na utatozwa tu kwa muda uliotumika.

Kila mradi ni tofauti, lakini haya hapa ya kutarajia

Small Projects

E.g. Logo, branding, stationary, one page website
Time on project 1 - 5 masaa
Project Manager fee $ 20 - 100

Miradi ya Kadri

K.m. Tovuti za kursa kadaa, mifumo ya malipo na tiketi
Time on project 10 - 20 masaa
Project Manager fee $ 200 - 400

Miradi Mikubwa

K.m. Vitufe, tovuti ya biashara, ujenzi wa software
Time on project 20 - 40 masaa
Project Manager fee $ 400 - 800
Time on project
Project Manager fee

Small Projects

E.g. Logo, branding, stationary, tovuti ya ukurasa mmoja
1 - 5 masaa
$ 20 - 100

Miradi ya Kadri

K.m. Tovuti za kursa kadaa, mifumo ya malipo na tiketi
10 - 20 masaa
$ 200 - 400

Miradi Mikubwa

K.m. Vitufe, tovuti ya biashara, ujenzi wa software
20 - 40 masaa
$ 400 - 800