Ni bure Kutuma Mradi!

Ijaribu leo!

 • Pokea zabuni kutoka kwa wafanyakazi huru walio na ujuzi kwa dakika chache.
 • Tazama profaili za wafanyakazi huru, makadirio, kisha uzungumze nao.
 • Kukiwa na ada ya ujira ya asilimia 3% pekee, mfanyakazi huru umpendaye anaweza kuanza kukufanyia kazi leo!
 • Pay the freelancer once you're 100% satisfied.

* Minimum fees apply.

 1. Ni nini unachohitaji kufanya?
  1. Kwa nini usitunge Shindano la Ubunifu?

   Pata matokeo mazuri ama unahakikishiwa kurudishiwa pesa! Anzisha shindano, kagua mamia ya wasilisho na ulipie ile uipendayo.

 2. Tueleze zaidi kuhusu mradi wako.
  1. Pendekezo la Ujuzi (ongeza 5 zaidi)
  2. Great project descriptions include a little bit about yourself, details of what you are trying to achieve, and any decisions that you have already made about your project. If there are things you are unsure of, don't worry, a freelancer will be able to help you fill in the blanks.
  3. Ilani kuhusu miradi ya "Maoni".

   Miradi ya kutunga maoni bandia na ya ukora hairuhusiwi kabisa na inakiuka Sheria yetu na Masharti. Kutuma miradi kama hiyo itapelekea akaunti yako kusimamishwa ama kuzuiliwa kabisa.

  4. Ilani! Craiglist, Inc. imeshauri kuwa kuna baadhi wa watumiaji wanaoshinikiza wengine kukiuka CraiglistSheria za Utumiaji. Ujumbe huu unaonyeshwa kulingana na orodha ya majina tuliyopewa na Craigslist. Tafadhali hakikisha kuwa haukiuki Sheria za Utumiaji za Craiglist.

 3. Unafikiria kuhusu bajeti ipi?
  1. $ USD
  2. $ USD
 4. Pata mengi kutoka kwa mradi wako! (sio lazima)

  Kifurushi cha Kufaulu (Okoa 61%!)

  Tulipanga kifuruhishi hiki ili kuvutia wafganyakazi huru bora zaidi kwenye mradi wako. Fanya kazi yako ionekane zaidi, pokea majibu ya haraka katika masaa 24 ya kutuma miradi, na upokee huduma yetu ya kipekee ya usajili inahakikisha kuwa unapata matokeo bora zaidi kwa mradi wako.

  Msaada wa kitaalam kumpata mfanyakazi huru

  Huduma yetu ya kipekee ya usajili inahakikisha kuwa unapata matokeo bora zaidi kwa mradi wako. Wasajili wetu hukagua maombi kibinafsi na kukuokolea muda wa kukagua wafanyakazi huru. Wacha tukusaidie kupata mtu anayefaa kwa kazi yako.

  Pata kuanza haraka!

  Nataka mradi wangu uwekewe alama kuwa ni mradi wa dharura. Pokea majibu ya haraka kutokakwa wafanyakazi huru na uweze kuanzishiwa kazi kwa masaa 24!

  Weka maelezo ya mradi yawe ya siri

  Nataka ku ficha maelezo ya mradi kutoka kwa mitandao ya kutafuta na watumiaji ambao hawajaingia. Mfumo huu unapendekezwa kwa miradi ambayo usiri ni lazima.

  Makubaliano ya Kutotoa Taarifa

  Wafanyakazi huru wanahimizwa kuweka sahihi Makubaliano ya Kutotoa Taarifa wakati wanafanya kazi kwenye mradi wako. Wafanyakazi huru wanakubali kuweka siri maelezo yote yaliyojadiliwa kupitia jumbe za kibinafsi na faili pia.

  FIcha maelezo ya zabuni

  Nataka zabuni zote zifichwe ndiposa wafanyakazi huru wasione ambacho wengine wanazabuni na kupelekea kwa maombi sahihi na ya hali ya juu.
  Mradi huu ni wa kuajiri nafasi ya wakati wote ama ya kiujira (k.v. Mauzo) na utaokoa pesa ikiwa una kazi inayoendelea. Ada zinatozwa tu ikiwa thamani ya mradi inazidi $5000 USD.

  Makubaliano ya Uhamisho wa Mali ya Usomi

  Kuwa na uwazi. Mfanye mfanyakazi huru atie sahihi Makubaliano ya Mali ya Usomi (IP). Hili linaonyesha kuwa unamiliki kazi yote iliyofanywa.

Kwa kubonyeza 'Tuma Mradi Sasa', unaashiria kuwa umesoma na unakubaliana na Sheria na Masharti na Sera ya Faragha