Wafanyakazi huru, pokeeni kazi zaidi.
Tambua miradi mipya na uiwekee zabuni ukiwa safarini kwa kutimia vitufe vya Freelancer.
-
Kagua
Pitia mamia ya miradi inayoambatana na ujuzi wako. -
Zabuni
Tayarisha maombi yako na uweke zabuni yako ukiwa safarini. -
Pokea kazi
Wasiliana na wateja wako na ukubali maombi popote ulipo.

Waajiri, pata kazi kufanywa haraka.
Pata wafanyakazi huru na uanzishe mradi wako kwenye rununu yako.
-
Tuma miradi
Tuma mradi wako moja kwa moja kutoka kwa rununu yako. -
Pata Wafanyakazi Huru
Kagua zabuni na utuze kazi ukiwa safarini. -
Mudu mradi wako
Wasiliana na wafanyakazi huru wako na ujue yanayojiri popote ulipo.
