Jaribu Uanachama wa Freelancer

Imebuniwa kuboresha kufaulu kwako kama mfanyakazi huru na mapato! Okoa hadi 20% kwenye mipango ya mwaka. Badilisha mipango wakati wowote. Sheria kutumika. Tazama Maswali Yanayoulizwa Sana.

Mpango wa Mwezi
Mpango wa Mwaka
Bei zinaonyeshwa kwa sarafu ya USD.
*Manufaa yanahitaji mpango wa uanachama na mipangilio zaidi ya kuhitimu.

Maswali yaulizwayo

Ni kwa nini niboreshe?

Unapata nafasi nyingi za kupokea mapato na kuokoa pesa kama mwanachama wa Kawaida, Plus, Mtaalamu ama Premier. Weka zabuni kwenye miradi zaidi, ongeza ujuzi zaidi, okoa kwenye viboresho vya mradi na upokee zawadi spesheli!

Naweze kubadilisha mpango?

Bila shaka! Boresha mfumo wako wa uanachama wakati wowote na upokee manufaa ya ziada mara moja. Pia, unaweza kushukisha hadhi ya uanachama wako na uendelee kupokea manufaa ya anachama wako wa sasa hadi utakapoisha, kabla ya kuteremka hadi kwa uanachama wa ngazi ya chini.

Mfumo wa Mfanyakazi Huru Anayependelewa ni nini?

Pata Ufikiaji wa Kipekee kwa Miradi Bora na Mfumo wa Mfanyakazi Huru Anayependelewa. Soma zaidi

Naeza funga uanachama wangu?

Ndiyo, unaweza kubatilisha uanachama wako wakati wowote bila malipo zaidi.

Unataka msaada zaidi?

Unaweza kuangalia nakala za Uanachama wa Freelancer.com kwa maelezo zaidi.