Unamhitaji mpiga Picha?

Tumekufunika. Ukiwa na Freelancer Local unaweza kumuajiri mtaalam wa picha haraka bila shida yoyote!

Boresha utendakazi wako

Pokea mapendekezo kutoka kwa wapiga picha wa eneo kwa kubonyeza tu

Upiga picha wa Kawaida

Walioko kwenye timu yako ndio sura ya biashara yako. Wateja hukaribishwa nao wakati wanafanya utafiti kuhusu kampuni yako. Hakikisha kuwa biashara yako inaonekana vyema kwa kumtumia mpiga picha wa kitaalam.

Upiga picha wa Bidhaa

Kuanzia kwa kupanga mwangaza hadi kwa mitindo, wapiga picha wa kitaalam hujua jinsi ya kufanya bidhaa zako zipendeze. Picha za kuvutia za bidhaa huwa ndio tofauti kati ya kuuza na kutouza. Haswa, asilimia 67% ya wateja huzingatia ubora wa picha ya bidhaa kama "muhimu mno" kwa kuchagua na kununua bidhaa.

Upiga picha kwa Tamasha

Ikiwa una sherehe ya kikazi, harusi, maonyesho ama tamasha yoyote ile basi huwa ni vyema kila mara kumruhusu mtu mwingine kuwa mpiga picha. Kwenye Freelancer.com, utaweza kupata kila kiwango cha uzoefu kuanzia kwa mwanafunzi hadi kwa mtaalam ili kufaa mahitaji ya tamasha lako na bajeti.

Kazi za Maeneo za Freelancer Inafanyaje kazi?

  1. Tuma Kazi ya Eneo -

    Tueleze tu ni wapi unakohitaji kazi yako ifanyike. Utawaona wafanyakazi huru wakiweka zabuni kwa muda usiokuwa mrefu.

  2. Matokeo kwa Dakika Chache Tu -

    Kagua maombi na uzungumze na walioweka zabuni ili kujadiliana maelezo ya ndani ya kazi.

  3. Chagua bora -

    Tuza kazi kwa mzabuni wako bora, na ulipe tu baada ya kazi kufanyika!

Kazi za Maeneo za Freelancer Inafanyaje kazi?