Tunahitaji Kuajiri Msafishaji?

Tumekufunika. Ukiwa na Freelancer Local unaweza kumuajiri mtaalam wa usafi haraka bila shida yoyote!

Boresha utendakazi wako

Ajiri Msafishaji wa Kitaalam kupitia Freelancer.com

Kazi ya Nyumbani

Labda iwe wewe ni baadhi ya wale watu wachache wanaopenda kufanya kazi ya nyumbani na una muda wa kuifanya, tumekufunika. Wasafishaji wazuri kwa kawaida huwa ni ngumu kuwapata, lakini kwenye Freelancer tunahakikisha kuwa wanakuja uliko.

Kusafisha Mkeka

Usiruhusu mkeka mchafu ukuondolee heshima. Ikiwa kuna matope, alama za mvinyo ama manyoya ya mifugo wa nyumbani basi ajiri msafishaji mkeka wa kitaalam kupitia Freelancer.com.

Usafishaji wa Kibiashara

Hatupendi uchafu haswa tunapofanya kazi kama tu tusivyopenda kwetu majumbani. Unahitaji ofisi yako isafishwe? Pata na umuajiri msafishaji wa kibiashara kupitia Freelancer.com kwa kubonyeza tu.

Kazi za Maeneo za Freelancer Inafanyaje kazi?

  1. Tuma Kazi ya Eneo -

    Tueleze tu ni wapi unakohitaji kazi yako ifanyike. Utawaona wafanyakazi huru wakiweka zabuni kwa muda usiokuwa mrefu.

  2. Matokeo kwa Dakika Chache Tu -

    Kagua maombi na uzungumze na walioweka zabuni ili kujadiliana maelezo ya ndani ya kazi.

  3. Chagua bora -

    Tuza kazi kwa mzabuni wako bora, na ulipe tu baada ya kazi kufanyika!

Kazi za Maeneo za Freelancer Inafanyaje kazi?