Tunawezaje kukusaidia?

Ni aina ipi ya kazi ambayo naweza kufanyiwa?

"Chochote unachotaka", unaisikiaje? Tunao wataalam wanaowakilisha kila nyanja ya kiufundi, kitaalam na kitalanta.

Chapisha Mradi
Onyesho la mfanya kazi huru kote ulimwenguni.

Tupatie tu maelezo kuhusu kazi unayohitaji ikamilike, na wafanyakazi huru wetu wataikamilisha haraka, vyema, na kwa ada nafuu kuliko ulivyodhani. Hii inajumuisha:

Kazi ndogo, kubwa na chochote hapo kati kati
Kazi ndogo, kubwa na chochote hapo kati kati
Kazi zisizobadilika bei, ama za masaa
Kazi zisizobadilika bei, ama za masaa
Kazi zinazohitaji ujuzi fulani wa kipekee, gharama ama mahitaji ya kubadilishiwa mkondo.
Kazi zinazohitaji ujuzi fulani wa kipekee, gharama ama mahitaji ya kubadilishiwa mkondo.
Inafanyaje kazi?

Inafanyaje kazi?

 1. Tuma mradi
  Ni bure kila mara kutuma mradi wako. Utaanza kupokea zabuni kiotomatiki kutoka kwa wafanyakazi huru wetu. Kando na hilo, unaweza kupitia talanta iliyopo kwenye tovuti yetu, na kumuajiri mfanyakazi huru moja kwa moja.
 2. Chagua mfanyakazi huru bora
  • Pitia profaili za wafanyakazi huru
  • Zungumza moja kwa moja
  • Linganisha maombi na uchague iliyo bora
  • Tuza mradi wako na mfanyakazi huru wako aanze kazi
 3. Lipa utakaporidhika!
  Lipa kiusalama ukitumia mfumo wetu wa Malipo ya Hatua - wachilia malipo kulingana na mpangilio wa malengo uliyoweka, ama ulipe tu wakati itakamilika. Utaamua, ni wewe uliye na udhibiti.
Chapisha Mradi

Salia na Udhibiti. Wasiliana.

Tumia zana tumizi yetu ya Desktop App kufuatilia kazi, masaa, kuwasiliana na ufanye mengine mengi. Jua kila mara kinachoendelea kwenye mradi wako, kinachofanyika na kinachosalia kufanyika.

Tumia kitufe chetu cha mobile uweze kutuma jumbe kiurahisi ukisafiri. Utaweza kuwasiliana na mfanyakazi huru wako ikiwa utakuwa na maswali, viboresho ama uwe unahitaji kujadiliana.

Dhibiti ukamilishaji wa miradi na malipo. Wachilia tu malipo yako wakati malengo yanakamilika, ama wakati mradi unakamilishwa unavyotaka.

Programu ya Desktop
Usalama

Salama na Dhabiti.

Freelancer.com ni jamii inayothamini kuaminiwa kwako na usalama wako:

 • Usalama wa haliya juu kulinda fedha zako. Matumizi yote yamelindwa na DigiCert 4096-bit SSL encryption.
 • Omba malipo ya Hatua kutoka kwa wateja wako ili kuhakiksha kuwa fedha zako zinakufikia salama.
 • Wawakilishi wetu wako masaa 24/7 kukusaidia ikiwa utakumbana na shida yoyote.

Kwa hivyo unasubiri nini?

Tuma mradi leo na upokee zabuni kutoka kwa wafanyakazi huru wenye talanta.

Chapisha Mradi

Msaada zaidi

Hauna uhakika pa kuanzia? Jaribu baadhi ya vielekezi hapo chini: