Ni aina ipi ya kazi ambayo naweza kufanyiwa?

"Chochote unachotaka", unaisikiaje? Tunao wataalam wanaowakilisha kila nyanja ya kiufundi, kitaalam na kitalanta, wanaopeana huduma aina zote:

  • Kazi ndogo, kazi kubwa, chochote hapo katikati
  • Bei isiyobadilika ama masaa
  • Mahitaji ya ujuzi maalum, gharama na mpangilio

Tupatie tu maelezo ya mradi wako na wafanyakazi huru wetu wataishughulikia haraka, kwa ubora na haraka kuliko unavyoweza fikiria. Kazi zako zinaweza kuwa kubwa ama ndogo kama upendavyo, zinaweza kuwa za bei isiyobadilika ama za saa, na unaweza fafanua ratba, gharama, na hatua.

Tuma Mradi
Onyesho la aina za kazi unazoweza kufanyiwa.

Vipi?

1.Tuma mradi wako

Ni bure kila mara kutuma mradi wako. Alika wafanyakazi huru wetu waweke zabuni, ama upitie wafanyakazi huru wanaofaa na uwasilishe ombi. Utapokea majibu kwenye kazi yako kwa dakika chache!

2. Chagua mfanyakazi huru bora

  • Pitia profaili za wafanyakazi huru
  • Zungumza moja kwa moja
  • Linganisha maombi na uchague iliyo bora
  • Tuza mradi wako na mfanyakazi huru wako aanze kazi

3. Lipa utakaporidhika!

Lipa kiusalama ukitumia mfumo wetu wa Malipo ya Hatua - wachilia malipo kulingana na mpangilio wa malengo uliyoweka, ama ulipe tu wakati itakamilika. Utaamua, ni wewe uliye na udhibiti.

Tuma Mradi
Illustration of posting your project.

Salia na Udhibiti. Wasiliana.

Waaafanyakazi huru hutumia kitufe chetu cha Desktop App kufuatilia kazi, masaa, kuwasiliana na kuonyesha. Jua kila mara kinachofanyika kwenye mradi wako, sasa na kinachosalia kufanyika.

Tumia kitufe chetu cha mobile uweze kutuma jumbe kiurahisi ukisafiri. Utaweza kuwasiliana na mfanyakazi huru wako ikiwa utakuwa na maswali, viboresho ama uwe unahitaji kujadiliana.

Dhibiti ukamilishaji wa mradi na ulipe. Wachilia malipo tu ikiwa matarajio yataafikiwa, ama ikiwa mradi utakamilishwa kwa kiwango kitakachokuridhisha.

Illustration of contacting your freelancers.

Usalama

Freelancer.com ni jamii inayothamini kuaminiwa kwako na usalama wako:

  • Usalama wa hali ya juu wa fedha zako, matumizi yote yanalindwa na udhibiti wa GeoTrust 128-bit SSL.
  • Mfumo wetu wa Malipo ya Hatua unahakikisha malipo yako yanawachiliwa tu ikiwa utaridhika.
  • Wawakilishi wetu wako masaa 24/7 kukusaidia ikiwa utakumbana na shida yoyote.
Onyesho la usalama.

Kwa hivyo unasubiri nini?

Tuma zabuni leo na upokee zabuni kutoka kwa wafanyakazi huru wenye talanta

Tuma Mradi