Ajiri a WPF Developer

Tueleze unachohitaji kifanyike na upokee mapendekezo kutoka kwa wafanyakazi huru kwa dakika chache, tazama profaili, makadirio, kwingineko na uzungumze nao.

Get Free Quotes

 • KAMA ILIVYOTUMIKA NA

Kazi Iliyoonyeshwa kutoka kwa Wafanyakazi huru Wetu

Build Website to Capture Leads Picha
Akhlaq A. Picha
Akhlaq A.
PHP, CodeIgniter, WordPress Developer
Build contact forms into a website with emails sent automatically to enquirers upon completion. Perfect for businesses needing to quickly quote the cost of work and projects.
Build Website to Capture Leads
$40 USD
Make a Website Mobile-Responsive Picha
Mahmoud A. Picha
Mahmoud A.
Designer, Developer & Engineer
Switching a site to become mobile responsive. Why spend hours studying to how to do it and risking mistakes when you can get it done in minutes instead?
Make a Website Mobile-Responsive
$10 USD
Design Mobile Responsive Website Picha
Sunil P. Picha
Sunil P.
Web Developer
Mobile-responsive website design for a business buying and reselling 2nd hand cars. Intuitive website designs help you turn visitors into buyers and get more sales without spending more on marketing.
Design Mobile Responsive Website
$114 USD

Pata Mengi Kufanywa na Wafanyakazi Huru

 1. Huhitajika kufanya yote pekee yako

  Tumia muda mwingi kwa kile unachokifanya vyema n uanze kupata mengi kufanywa.

 2. $$

  Ajiri kwa robo ya gharama

  Jipatie jeshi la wabunifu, wajenzi, watangazaji huduma na waandishi.

 3. Group 40@2x Created with Sketch.

  Usijutie kwa kuajiri yule mbaya

  Soma maoni kutoka kwa watu asili na ujue kuwa unazidi kuwa bora.

As Featured in

Marketplace kubwa Zaidi Ulimwenguni

Mamilioni ya watumiaji, kuanzia kwa biashara ndogo ndogo hadi kwa zile kubwa, wajasiriamali hadi kwa biashara zinazoanza, hutumia Freelancer kugeuza mawazo bunifu yao kuwa za uhakika.

57.3M
WATUMIAJI WALIOSAJILIWA
21.0M
JUMLA YA KAZI ZILIZOCHAPISHWA
FEATURED FREELANCER

Excellent work, super fast, super quality and understood the brief perfectly!

If you're looking for a talented web developer you'll find people like Charchit to help you accomplish your needs.

Charchit P.
Web Developer & Designer
$15 USD/hour
Wordpress Membership Website Building
USD $350

Kuajiri a WPF Developer kwenye Freelancer

Windows Presentation Foundation (WPF) ni mpangilio kabambe unaotumiwa kujenga vitufe vya Windows. WPF ina mengi mazuri zaidi ya Windows Forms za kawaida. Chapa ya sasa inamruhusu yeyote kutunga kwa njia zote na kubadilisha jinsi programu kinavyofanya kazi bila kubadilisha mtazamo wa code iliyopo.

Huku programu ikionekana rahisi kukielewa unapokisoma, bila ya hata kuwa na ueledi wa programu yenyewe, kufanya kazi nacho kunaweza kuchukua muda mwingi.

Ikiwa unaendesha biashara, jinsi unavyotumia muda wako utaathiri matokeo yako baadaye. Badala ya kumaliza muda ukijifunza kuhusu WPF, ni vyema kifedha kupeana kazi hii huku ukifanya kazi kwa mamia ya vitu vingine ambavyo vinasaidia kufanya biashara ifaulu.

Kwa hivyo ni yapi haswa ambayo mtaalam wa WPF anaweza kufanya ili kukujengea programu ya Windows? Mengi! Hebu angalia mikondo inayohitajika:

 • Kubuni XAML ili kubuni sura ya juu ya programu (user interface) itakavyofanana.
 • Kuandika code itakayoongoza jinsi programu itatumika.
 • Kubuni utambulisho wa programu inayofanya kazi ya kumudu programu.
 • Kuongeza vya kumudu mipangilio na kubuni mpangilio mahsusi utakaotunga sura ya programu.
 • Kubuni mipangilio kwa njia amabyo zitanekana kisawa kwenye sura ya juu ya programu.
 • Kujaza sura ya juu ya programu na data na kulinganisha data yenyewe na sura ya juu.

Programu itakayobuniwa kitakuwa na kurasa kadhaa za WPF zilizopangwa kwenye mfumo wa browser.

Kwa hivyo ni wapi utaweza kumpata mtaalam wa WPF atakayeweza kukusaidia kujenga programu ya Windows ambacho kimebinafsishwa kwa mahitaji yako? Mahali pa kwanza ambapo biashara nyingi huanzia kutafuta na kwenye Freelancer.com. Mtandao wa kimataifa hutumika kama mahali bora zaidi pa kukutana kwa wateja na wataalam kutoka kote ulimwenguni. Haijalishi ni aina ipi ya kazi unayohitaji kufanyiwa, kwenye Freelancer.com una uhakika wa kupata mfanyakazi huru mwenye ujuzi na utaalam wa kukufanyia kwa gharama unayoweza kuimudu.

Ili kuhakikisha kufaulu kwa mradi wako, wakati unapotuma tangazo la kazi kwenye Freelancer.com, ni sharti uhakikishe kuwa unapeana maelezo mengi ipaswavyo kuhusu maono yako, matokeo ya mradi bei uliyotayari kulipa. Hii itaboresha nafasi yako ya kupata mtaalam aliyehitimu mno kwa jukumu lako la WPF.

Kinachopendeza mno kuhusu kutuma mradi wako kwenye Freelancer.com ni wingi wa talanta unayoweza kupata. Ikiwa utaona profaili ya mfanyakazi huru unayedhani anafaa mradi wako, unaweza kuwaalika kuweka zabuni.

Chukua muda wako. Pitia zabuni utakazo pokea, tazama profaili za waliotuma maombi na ujadiliane mahitaji yako na aliyeweka zabuni ili kutathmini ikiwa wanaufaa mradi wako au la.

Ikiwa unatafuta kubuniwa programu ya Windows, tembelea Freelancer.com na utume mradi unaohitaji mtaalam wa WPF leo.

Jinsi inavyofanya kazi

 1. 1. Tuma kazi

  Tueleze unachohitaji kifanyike kwa sekunde chache.

 2. Group 17 Copy 2@2x Created with Sketch.

  2. Chagua wafanyakazi huru

  Pokea zabuni yako ya kwanza katika sekunde chache na uchague kati ya zilizo bora.

 3. 3. Fuatilia inavyoendela

  Zungumza na mfanyakazi huru wako na ukague kazi yao asaa 24/7.

 4. 4. Lipa kiusalama

  Lipa tu ikiwa umeridhika kabisa.

Pata Wajenzi wa WPF Sasa

Ni haraka, rahisi, na tunahitaji maelezo machache tu ili kuanza.

Pokea Mapendekezo Bure