Ajiri An Adobe Lightroom expert

Tueleze unachohitaji kifanyike na upokee mapendekezo kutoka kwa wafanyakazi huru kwa dakika chache, tazama profaili, makadirio, kwingineko na uzungumze nao.

Get Free Quotes

 • KAMA ILIVYOTUMIKA NA

Kazi Iliyoonyeshwa kutoka kwa Wafanyakazi huru Wetu

Create Minimalist Icons for a Website Picha
Rakesh C. Picha
Rakesh C.
Graphic Designer
Minimalism design style svg icon set for existing website hosted by the employer. This icon set invites users to register for free as part of the unique onboarding experience.
Create Minimalist Icons for a Website
$100 USD
Design the Architecture Style of a House Picha
Harijith S. Picha
Harijith S.
Architecture Explorer and Enterpreneuer
Sleek and modern architectural design from sample house plans with a unique local flair. The perfect way to build out your vision before your next renovation.
Design the Architecture Style of a House
$38 USD
Design an App Mockup Picha
Nihal H. Picha
Nihal H.
UX/UI Designer
Energetic and attention-grabbing mobile app designs for a delivery service including map view, contact details, and order details.
Design an App Mockup
$78 USD

Pata Mengi Kufanywa na Wafanyakazi Huru

 1. Huhitajika kufanya yote pekee yako

  Tumia muda mwingi kwa kile unachokifanya vyema n uanze kupata mengi kufanywa.

 2. $$

  Ajiri kwa robo ya gharama

  Jipatie jeshi la wabunifu, wajenzi, watangazaji huduma na waandishi.

 3. Group 40@2x Created with Sketch.

  Usijutie kwa kuajiri yule mbaya

  Soma maoni kutoka kwa watu asili na ujue kuwa unazidi kuwa bora.

As Featured in

Marketplace kubwa Zaidi Ulimwenguni

Mamilioni ya watumiaji, kuanzia kwa biashara ndogo ndogo hadi kwa zile kubwa, wajasiriamali hadi kwa biashara zinazoanza, hutumia Freelancer kugeuza mawazo bunifu yao kuwa za uhakika.

50.7M
WATUMIAJI WALIOSAJILIWA
19.5M
JUMLA YA KAZI ZILIZOCHAPISHWA
FEATURED FREELANCER

Paula's design work was incredibly detail oriented and she was hyper responsive to our evolving needs.

If you're looking for a talented graphic designer you'll find people like Paula to help you accomplish your needs.

Paula Daniela M.
Graphic Designer
$60 USD/hour
Design Conference Image
USD $70

Kuajiri An Adobe Lightroom expert kwenye Freelancer

Adobe Lightroom ni software ya kupanga picha na kuzibadilisha na inatengenezwa na Adobe Systems ili kutumiwa kwa mifumo ya Windows na iOS. Ni baadhi ya software bora zaidi inayopeana uwezo wa kuhariri picha. Inaruhuzu kuzitazama, kuzipanga, kuzibadilisha na kiasi kikubwa cha vifaa vya kuhariri ili kufanya picha zenyewe zipendeze na ziwe za kuvutia. Lightroom imeandikwa kwa mfumo wa C++ na programu ya Lua. Software yenyewe imetolewa chapa tofauti tofauti na Adobe na chapa ya sasa iliyoko sokoni ni 6.4, na ilitolewa mnamo mwaka wa 2016.

Adobe Lightroom ina mipangilio mahsusi ya kutengeneza picha, Mipango mahsusi ya kumudu picha, Mipango mahsusi ya kutafuta na kupanga, mipangilio ya kazi, ubadilishaji wa kipekee, nafasi za kipekee za kuonyesha zinazofanya Adobe Lightroom iwe ya kupendwa mno na wapigaji picha.

Ikiwa unaendesha biashara inayokuhitaji ufanye kazi na picha, basi utawahitaji watu walio na uzoefu wa juu wa kutumia software ya Adobe Lightroom. Hata hivyo, kwa kuwa software hii hutumiwa na wapigaji picha mara kwa mara, ikiwa unamhitaji mtu anayejua software ya Lightroom, basi huenda utampata mpigaji picha. Sote tunajua jinsi ilivyo ghali kuwaajiri wapigaji picha wa kitaalam. Hata hivyo unaweza kumuajiri mfanyakazi huru aliye na uzoefu wa kutumia Adobe Lightroom kitaalam.

Kuna mitandao mingi siku hizi inayopeana huduma za ufanyakazi huru kwa waajiri. Freelancer.com ndio mtandao mkubwa zaidi unaowaleta pamoja wafanyakazi huru na waajiri. Tukiwa na watumiaji zaidi ya millioni 19 million waliotapakaa katika zaidi ya nchi 247 kote ulimwenguni, kwa uhakika utampata mtaalam wa Adobe Lightroom kwenye Freelancer.com unayemhitaji akufanyie picha zako ziwe za kupendeza mno.

Kwa hivyo inafanyaje kazi? Ni mojawapo ya vitu rahisi mno ulimwenguni. Utaingia tu mtandaoni, na utume mradi, na ueleze mahitaji yako kuhusu kuhariri picha, aina ya uzoefu unaohitaji kuhusu Adobe Lightroom na pia bajeti unayokisia itatumika kukamilisha kazi yako. Kisha, tulia na utazame jinsi zabuni zitaanza kuingia, kwa dakika chache tu. Kisha, wafanyakazi huru watatuma maombi yao kwa mradi wako na kukuonyesha profaili zao, na bei ambayo wako tayari kupokea ili kukupatia huduma zao. Unaweza kujumuika na wafanyakazi huru wengi upendavyo na ujadiliane maelezo ya kazi. Waajiri wengi pia hujadiliana kuhusu gharama na muda kwenye majadiliano. Pindi mtakapokubaliana kuhusu sheria na masharti, utamtuza mfanyakazi huru mradi na kazi yako inaanzwa mara moja.

Utachagua kumuajiri mfanyakazi huru kulingana na kiwango cha mradi ama cha saa. Ikiwa utaamua kumuajiri mfanyakazi huru kulingana na saa, hautahitaji kujali jinsi ya kufuatilia masaa ambayo mfanyakazi huru wako anafanyia kazi. Freelancer.com ina programu ya hali ya juu cha tarakilishi cha kufuatilia masaa na ambacho hufuatilia idadi ya masaa ambayo mfanyakazi huru uliyemuajiri anafanyia kazi yako. Utapokea ripoti kwa muda wa kila mara na ambayo utatumia kumlipa mfanyakazi huru. Si hilo ni jambo jema?

Ikiwa unatafuta kufanyiwa uhariri wa picha wa kitaalam, basi usitafute mbali. Jibu ni Freelancer.com. Tuma mradi leo na utazame jinsi mfanyakazi huru uliyemchagua atageuza mawazo bunifu yako kuwa hai.

Jinsi inavyofanya kazi

 1. 1. Tuma kazi

  Tueleze unachohitaji kifanyike kwa sekunde chache.

 2. Group 17 Copy 2@2x Created with Sketch.

  2. Chagua wafanyakazi huru

  Pokea zabuni yako ya kwanza katika sekunde chache na uchague kati ya zilizo bora.

 3. 3. Fuatilia inavyoendela

  Zungumza na mfanyakazi huru wako na ukague kazi yao asaa 24/7.

 4. 4. Lipa kiusalama

  Lipa tu ikiwa umeridhika kabisa.

Pata Wataalam Wa Adobe Lightroom Sasa

Ni haraka, rahisi, na tunahitaji maelezo machache tu ili kuanza.

Pokea Mapendekezo Bure