Tunataka uwe
Bingwa wa Freelancer.com

Tuzo la Marketer wa Mwaka $25,000 USD

Orodha ya Sasa ya Wanaoongoza

From May 15, 2018 to June 19, 2018, we're looking for the Hero of Freelancer.com. Put your referral marketing skills to the test and show us how many friends you can invite to Freelancer.com! The winner will receive the fame and glory as the Hero of Freelancer.com AND $20,000 cash. Weekly winners also stand to win $1,000 cash.

Nambari Jina Mapato
1 Imara Software Solutions $720 USD
2 subhan05 $460 USD
3 joeblackis17 $260 USD

Weekly Heroes

Kila juma, mabingwa wa juma watagawana $1000 USD kwa kuleta watu wengi. Je, utakuwa bingwa wa juma?

darrelwilson $500 USD Winner
Imara Software Solutions $500 USD Winner
Imara Software Solutions $1000 USD Winner
joeblackis17 $1000 USD Winner
Imara Software Solutions $1000 USD Winner
Imara Software Solutions $20000 USD Winner

How can I become a Hero?

Onyesho la jinsi ya kushiriki
 1. Onyesha

  Share your signup link to your friends, and they'll get $20 USD when they sign up!

 2. Elekeza

  Kwa kila mtu atakayejisajili kupitia anwani yako, utapokea $20 USD ya kutumia kwenye Freelancer mara watakapotumia $50 USD kwenye tovuti.

 3. Pata Pointi

  Mtumiaji atakayekuwa na idadi kubwa ya watakaojisajili kuanzia Mei 15, hadi Juni 19, 2018 atakuwa Bingwa wa Freelancer.com na atapokea zawadi ya $20,000.

We want to support the talent and creativity of extraordinary people like you!

Freelancer.com ni marketplace kubwa zaidi iliyo na zaidi ya wanachama millioni 28 kutoka nchi 247. Mamillioni ya biashara ndogo ndogo hutumia Freelancer kufanya mawazo bunifu yao kuwa hai. Unaweza kutunga miradi mipya kujenga biashara yako na kupokea maombi mazuri kutoka kwa dimbwi kubwa la talanta kwa dakika chache tu.

Maswali yaulizwayo

 • Zawadi za shindano ni zipi?

  Mtumiaji mwenye waelekezi wengi katika kila juma ya shindano atashinda $1,000. mtumiaji mwenye idadi kubwa ya uelekezi uliofaulu katika muda wa shindano atashinda zawadi kuu ya $20,000.

 • Iko wazi kwa Wafanyakazi huru wapya?

  This competition is open to all Freelancer.com users in good standing.

 • Ni mahitaji yapi ya kujiunga?

  You need to have a valid payment method and verified phone number to participate. Once this is done you may go here to get your custom signup link. Full terms and conditions can be found here under the header "Hero of Freelancer.com Competition".

 • Ni wakati upi ambao aliyeelekezwa anahesabiwa katika orodha ya walio wakuu?

  Uelekezi unazingatiwa tu ikiwa aliyeelekezwa atawahi jumla ya $50 USD kama hatua za mradi na tuzo za mashindano.

 • Nini kinafanyika iwapo mtu atapokea zaidi ya anwani moja ya usajili?

  Marupurupu ya uelekezi yatajesabiwa kwa yule mtumiaji ambaye anwani yake ya usajili ndiyo ilikuwa ya mwisho ambayo mtumiaji mpya aliifikia kabla ya kujisajili.

 • Shindano lipo kwa muda upi?

  The competition starts on May 15, 2018 and runs until June 19, 2018. To count, credits should be earned during the competition period.