Pokea Ubunifu wa Michoro wa Hali ya Juu kwa Biashara Yako

Una sekunde 50 kujionyesha vyema kwa mara ya kwanza. Onyesha biashara yako katika mwangaza bora.

Tuma Mradi
Ubunifu wa Logo kwa gharama ya $300 na soudgcombr kwenye Freelancer
Ipatie Biashara yako Sauti

Picha Moja ina Thamani ya Maneno Elfu Moja

Ukweli usemwe, sisi ni viumbe tunaothamini tunayoyaona. Utafiti unaonuesha kuwa asili mia 90% ya habari inayowasilishwa kwa ubongo ni picha, na nakala zilizo na picha zifaazo hutazamwa hadi kwa asilimia 94%. Wahi mawazo ya watejs wako watarajiwa na utengeneze mambo ambayo watashawishika kusoma na kujumuika nayo.

Mfano wa Kuboresha Picha kuanzia $26 USD na schmidtkrisztina kwenye Freelancer
Kuboresha Picha kuanzia $26 USD na schmidtkrisztina kwenye Freelancer Tuma Mradi kama huu

Onekana kwenye umati...

Iwe ni biashara inayoanza inayohitaji kuonekana, ama biashara sugu inayohitaji kubadilishwa vizuri, mbunifu wa michoro atakusaidia kujitofautisha na washindani wako. Wavutie wateja wako na michoro ya kipekee inayohadithia utambulisho wako, na inaelekeza wateja kwenye tovuti yako, blogu, bidhaa na huduma.

Mfano wa Ubunifu wa Logo na Mtindo kwa gharama ya $300 USD na soudgcomber kwenye Freelancer
Ubunifu wa Logo na Mtindo kwa gharama ya $300 USD na soudgcomber kwenye Freelancer

...na ujumuike na wateja wako.

Katika dunia ya sasa, maandishi tu hayatoshi. Haswa, utafiti unaonyesha kuwa asilimia 40% ya watu huvutiwa na habari ya picha kushinda maandishi tu. Karibu nusu ya watumiaji wote wa mtandaoni wamesambaza picha ama video waliyoipata mtandaoni. Boresha mazungumzo na picha za ubunifu zinazowavutia wageni wapya na kuwafanya wajumuike.

Mfano wa Ubunifu wa Ukurasa wa Juu kwa gharama ya $100 USD na marslegarde kwenye Freelancer
Ubunifu wa Ukurasa wa Juu kwa gharama ya $100 USD na marslegarde kwenye Freelancer
Anza leo

Pata Mbunifu bora Zaidi wa Michoro

Onyesho la kutuma mradi

Tuma Mradi

Kila ubunifu mzuri huanza na kutuma mradi. Ingia tu na ueleze mradi wako kwa kina, ndiposa mfanyakazi huru wako aweze kuainisha huduma zao na mahitaji yako.

Onyesho la ushirikiano katika mradi

Shirikiana

Kagua zabuni zinazoingia na uwache maoni kwa wafanyakazi huru, ili waweze kufanya kazi ipaswavyo.

Onyesho la kutuza mradi

Kuridhika Kunahakikishiwa

Wachilia malipo ikiwa tu utaridhika kwa asilimia 100% na umechukua umiliki kamili wa hati wakati kazi inakamilika.

Mfano wa Ubunifu wa Logo kwa gharama ya $75 na geelator kwenye Freelancer
Ubunifu wa Logo kwa gharama ya $75 na geelator kwenye Freelancer

Shuhuda

"Freelancer hunisaidia kwa biashara yangu na inaweza kuwa kifaa muhimu na shupavu ikiwa utaelewa jinsi inavyofanya kazi."

logicbz