Freelancer Enterprise inawezesha kampuni kuweza kukamilisha mengi kwa gharama ndogo

Fikia jeshi kubwa ya wafanyakazi kote ulimwenguni ya Zaidi ya Millioni 42.8 ili kugeuza mawazo bunifu ya shirika lako kuwa hai, haraka na kwa robo ya gharama.

Ishara ya Kipengee cha Kompyuta
Nembo ya kundi la kufanya kazi la kimataifa

Global Workforce

Freelancer.com (ASX:FLN) ambayo imeshinda tuzo la Webby mara kumi, ni soko kubwa zaidi ulimwenguni la ufanyakazi huru jukaa la utafutaji wa uma likiwa na watumiaji zaidi ya millioni 42.8 kutoka zaidi ya nchi, maeneo na kanda 247, kwa lugha 34 na sarafu 39. Hakuna soko lingine la ufanyakazi huru la kimataifa kama Freelancer.com.

Nembo ya Uwezo Mzuri wa Kifedha

Uwezo Mzuri wa Kifedha

Zaidi ya asilimia 80% ya kazi za mtandaonihupokea zabuni chini ya sekunde 60. Kazi katika eneo maalum huwa zinawekewa zabuni katika wastani wa dakika 25-na inazidi kuwa bora kila mwezi. Hakuna soko lingine la ufanyakazi huru linalofikia Freelancer.com katika utendakazi.

Ishara ya Hakuna Ada

Hakuna Ada

Freelancer Enterprise haina ada za matumizi, usajili, ada za mwezi ama za mwaka. Hakuna ada za kutuma mradi wala kuweka akaunti ya mtumiaji. Ujira wa msajili na ada za uboresho pia zinaondolewa kwa wateja watakaonunua vingi.

Freelancer Cloud yako Kibinafsi ipo kote ulimwenguni na kieneo

Iwe unahitaji timu ya wahandisi wa software ama muuzaji mwenye ujuzi katika eneo lako, chagua kati ya wafanyakazi huruu wenye zaidi ya ujuzi tofauti 1000 ambao tayari wamekaguliwa na kuidhinishwa kulingana na mfumo ulioweka wewe.

Nembo ya Uwezo Mzuri wa Kifedha

Ubora, inawasilishwa kwa wakati na chini ya bajeti

Meneja wa Kufaulu kwa Miradi wanahakikisha kuwa unapata mfanyakazi huru wa hali ya juu atakayewasilisha kazi bora zaidi kwa wakati. Wanahakikisha ubora wa hali ya juu na utangamano mzuri wa kazi kutoka mwanzo hadi mwisho wa mradi.

Picha yenye Ubora wa Juu Iliyowasilishwa kwa wakati
Talent Meets Compliance As A Service Image

Talanta inakutana na uadilifu kama huduma

Iwe unataka kuajiri moja kwa moja, kutuma mradi ama kuendesha shindano, hudma zetu za utiifu pamoja na utafutaji talanta, kulinganisha mipangilio na huduma zilizodhibitiwa zitakulinda dhidi ya hatari za wafanyakazi na kukutafutia talanta ifaayo fast.

MFANO

NASA hutumia Freelancer Enterprise kugundua uwezo wa uvumbuzi wa binadamu.

Zaidi ya miundo 230 iliwasilishwa na wafanyakazi huru katika shindano la sura ya programu ya smart watch ambayo wanaanga watatumia kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Angani.

Meneja wa kufaulu kwa miradi kisha wakaisaida NASA kuajiri wataalam wa kuunda programu bora ili kuwasilisha programu iliyokamilika.

NASA Logo
Picha ya NASA Smart Watch

Tambua manufaa ya Freelancer Enterprise

Nembo ya Shield

Boresha Uaminifu

Suluhisho zetu za utiifu na mipangilio ya wafanyakazi, pamoja na huduma ya mawakili wa Kimarekani wa kuangalia kighafla utakuza kuamini kwako kwa kushirikiana na wafanyakazi kote ulimwenguni. Mipangilio yetu mahsusi ya kuwajua wateja na udhibitisho wa utambulisho utakuruhusu kushirikiana bila wasi wasi.

Nembo ya Automation

Workflow Automation

API yetu kamili inaweza kukusaidia kuharakisha kazi yako na kupatia wasaidizi wako muda wa kushughulikia yale ambayo ni muhimu. Iwezeshe moja kwa moja kwenye software yako, intranet ama mifumo ya ndani na upige simu za API ili kuwapa majukumu wafanyakazi huru.

Nembo ya Huduma kwa Wateja

Huduma Zinazosimamiwa

Tunayo timu ya Meneja wa Kufaulu kwa Miradi wenye uzoefu wa lugha mbalimblai na kutoka sehemu zote ulimwenguni walio tayari kukusaidia kumpata mfanyakazi huru anayefaa, kukagua shindano lako ama kusaidia kudhibiti shughuli zako.

Nembo ya Saa

Uwazi Kamili

Tunaelewa kuwa unataka ubora na matokeo unayoyalipia. Kitufe chetu cha kufuatilia muda kinapima kazi, kinanukuu skrini na kuidhinisha kazi ili upeane maoni mara moja.

Nembo ya Ukuzaji

Ongeza Kuonekana

Pima mafanikio yako na kufuatilia data ambayo inakuhusu. Pata taarifa kwa muda halisi juu ya vipimo ikiwa ni pamoja na matumizi na utumiaji kwenye dashibodi yako maalum.

Application Icon

Nyorosha Uigaji wa Ndani

Tutapeana karakana, miongozo za video, na usaidizi wa masaa 24/7 ili kukusaidia kufanya kazi. Wasaidizi wa kiufundi na mafunzo wako tayari kuwa kwenye tovuti ili kuwasaidia kuboresha kazi siku za usoni.

Zaidi ya asilimia 70% ya kampuni za Fortune 500 zinatumia Freelancer.com kufanyiwa kazi

Ishara ya MetLife Nembo ya NBC Nembo ya Panasonic Nembo ya Boeing Nembo ya Avery Dennison Ishara ya Intel Nembo ya Forbes Ishara ya SAP Ishara ya ESPN Nembo ya Cisco Nembo ya Walmart Nembo ya PricewaterhouseCoopers Nembo ya Microsoft Apple Icon Nembo ya Lenovo Nembo ya UBS Nembo ya General Electric Nembo ya eHarmony

Uko tayari kuanza?

Wasiliana na Timu yetu ya Enterprise leo