Programu ya Freelancer ya Desktop

Pakua Programu Ya Desktop

Rahisi kuweka. Bure kutumia. Inapatikana kwa Windows, Linux & Mac

Manufaa ya kutumia Programu ya Freelancer Desktop

Wafanyakazi huru

Inajenga Uaminifu

Jenga kuaminiana na muajiri wako. Onyesha unavyoendelea ili kuongeza nafasi ya kupokea kazi zaidi.

Ongeza Mapato

Fuatilia masaa kiotomatiki bila kusitisha kazi! Takwimu zetu zinaonyesha kuwa watumiaji wa programu hii huongeza mapato yao kwa hadi asilimia 300% na zaidi*

Shirikiana

Picha za skrini ni vifaa vya kupokea maoni ya muajiri. Unaweza bado kuboresha kazi yako na kuikagua kabla ya muda kuisha!

Waajiri

Lipa Masaa Yaliyotumiwa

Kila saa ya bili iliyofuatiliwa ni sahihi, na kufanya mchakato wa kutoza uwe bila wasiwasi na usumbufu!

Mawasiliano Wazi

Kufuatilia jinsi mradi unavyoendelea ni rahisi na bila jasho. Jua ambacho wafanyakazi huru wako wanachokishughulikia hadi dakika ya mwisho.

Fanya Pamoja

Kagua ujumbe kwenye picha za skrini za wafanyakazi huru. Kushirikiana ni rahisi, haraka na haina tashwishi!

Yaliyomo

Fuatilia kiotomatiki masaa uliyofanya kwa mradi wa saa.
Inaweza kubadilisha kufuatilia kutoka kwa mradi mmoja wa saa hadi mwingine.
Ongea na wawasilianaji wako huku ukifuatilia masaa yako.
Sambaza faili kiurahisi.
Inachukua picha za skrini ya tarakilishi yako ili kunakili kazi inayoendelea.
Piga picha za skrini wewe mwenyewe na uwache ujumbe.
Inaweka kwenye ankara kiotomatiki masaa yaliyofuatiliwa kwenye mradi.
Ufuatiliaji wa nje ya mtandao ili kuzuia kupoteza masaa ya kazi.

Vipengele zaidi vyaja hivi karibuni!

Kufaulu kwa Desktop App

Believe me, my earnings have increased over the time because of this. A fixed project might take more time than I'd actually thought of while bidding and accepting. But, hourly project done using the Desktop App makes sure I get paid for every single minute, even seconds that I commit into the project.

- Sankalp, Mbunifu wa UI/UX

Tengeneza kazi unayoweza amini. Pokea kitufe na ufuatilie masaa yako.

Pakua Programu Ya Desktop
* Kulinganishwa kwa wastani wa mapato ya ufanyakazi huru kati ya watumiaji wa programu ya kufuatilia muda na wasiokitumia kati ya Januari na Juni 2016.