Pata Waandishi hati bora wa Kusaidia biashara yako Kung'aa

Kila biashara ina hadithi yake ya kipekee. Uandishi hati ule shupavu unazingatia utumizi mzuri wa maneno, kwa mpangilio ufaao ili kuunda habari ya kusisimua ambayo wateja wako lazima waikubali.

Tuma Mradi

Anza leo

Usiwahi Kosa Maneno

Fikiria kuhusu Nakala Yako kama salamu ya kwanza kati yako na wateja wako. Wasalimu na yaliyomo iliyowekwa vyema, ni ya kupendeza na itawavutia.

Onyesho la vitabu vya motisha kwenye dawati.
Onyesho la kompyuta

Hati ya Tovuti

Usiwahi dunisha uwezo wa tovuti iliyoandikwa vyema. Huenda tovuti yako ikawa kitu cha kwanza ambacho watu watajua kuhusu biashara yako. Nakala nzuri ni ile ina ujumuisho mzuri bila ya kuonekana kutaka tu kuwauzia wasomaji.

Onyesho la dunia.

Search Engine Optimisation (SEO)

Hakikisha wateja wako watarajiwa wanaweza kukupata mtandaoni. Kuweza kuorodheshwa katika ukurasa wa kwanza sio kazi rahisi - lakini ni muhimu katika mipangilio yote ya utangazaji biashara. Kufanya tovuti yako iwe ya kupatikana haraka kutawasaidia wateja unaowalenga kuweza kupata tovuti yako haraka kila watakapoitafuta kwenye mitandao ya kutafuta kama Google.

Mchoro wa kalamu ya uandishi

Kutangaza Yaliyomo

Blogu, nakala za mtandaoni na barua kwa wingi! Hadhara yako inahitaji mambo bora. Wavutie na uwanase, na yaliyoandikwa vyema na kubobea. Haswa, asilimia 92%1 ya kampuni zinazoandika blogu mara kadhaa kwa siku huwa zinapata angalau mteja kutoka kwenye blogu hizo.

1Hubspot - 20 Fresh Stats About the State of Inbound Marketing in 2012

Sasa Biashara Yajo Inaweza Kuonekana na Kusikika Vyema

Katika ulimwengu wa utangazaji biashara, mhemko wa sauti yako ndio utakaokutofautisha na washindani wako. Kupata mhemko wa sauti itakayowasiliana kikamilifu kuhusu ni nini unayozingatia na ni matazamio yapi uliyonayo kwa wasomaji wako huwa ngumu. Ajiri waandishi hati bora waandike hadithi ya biashara yako.

Onyesho la gazeti ya Freelancer.

Jiunge na Wateja Unaowalenga

Utawezaje kufanya hadhara yako ikufuate na kukusikiza? Jibu ni rahisi - andika mambo yatakayowazungumzia. Utafiti unaonyesha kuwa asilimia 78% 2 ya wateja wanaamini kuwa mashirika yanayotoa huduma ya kibinafsi yanapendelea kujenga uhusiano mwema. Kwa hivyo huduma ya kibinafsi ni nini? Tunazungumzia blogu, nakala za mtandaoni, na barua zinazolenga kujenga hadhara unayolenga.

Tuma Mradi Ajiri waandishi hati bora 2Smart Bug Media - 26 Stats That Prove Content Marketing Increases Lead Generation, Sales, and ROI
Onyesho la kipeperushi cha chakula.

...na Kisha katika muda Huu wote ' utakuwa Unakmilisha Jukumu jingine

Yeyote yule ataweza kukueleza kuwa kuendesha biashara huwa kunachukua muda. Unapomuajiri mwandishi hati wa kitaalam, hautampata tu yule anayeweza kuunganisha sentensi nzuri, bali utakuwa unajiokolea muda muhimu. Waandishi hati wa kitaalam wannaweza kuandika hai nzuri katika muda ufaao. Hii inamaanisha utaweza kuwa na muda wa kahawa ya asubuhi uliyokuwa ukiitamani.

Onyesho la kikombe cha kahawa.

Shuhuda

'Freelancer inanisaidia katika biashara yangu na inaweza kuwa chombo muhimu na dhabiti ikiwa utaielewa inavyofanya kazi.'

logicbz

Ni rahisi kama 1-2-3

Mwandishi Hati Yule Bora Zaidi Utampata kwa Kubonyeza tu

(Hakuna thesaurus inahitajika.)

Tuma Mradi

Tuma Mradi

Ni wewe tu unayeijua biashara yako vyema. Ingia tu na utume mradi, ukieleza kwa kina kazi itakayofanyika, pamoja na mipangilio yoyote muhimu inayohitajika kufuatwa.

Shirikiana

Ushirikiano mzuri huzaa kazi bora. Utakuwa na mfanyakazi huru wako kila unavyoendelea - huku ukipeana ujuzi wako, na maoni ili matokeo yawe bora zaidi.

Kuridhika Kunahakikishiwa

Uko usukani. Wachilia tu malipo ya mradi ikiwa utaridhika kwa asilimia 100% na matokeo ya mwisho. Chukua umiliki kamili wa hati miliki wakati kazi inakamilika.