Ujuzi ufaao wa Graphic Design utapatikana ukiweka shindano

Kamilisha fomu iliyopo hapo chini na utapokea mamia ya mawazo na utimize matokeo uyatakayo!

 1. Wasilisha mukhtasari wako

  Peana kwa umma mradi wako wa kubuni logo kupitia kwa shindano kwa kuandika mukhtasari wako na kuweka zawadi

 2. Kagua wasilisho

  Wabunifu huru wetu hushindana kwa kuwasilisha mamia ya mawazo yao ya kubuni logo.

 3. Chagua mshindi

  Chagua wasillisho bora zaidi la ubunifu wa logo na utuze zawadi yako!

 1. Eleza kuhusu shindano lako la Graphic Design
 2. Ni ujuzi upi unahitajika?
  1. Muda na Zawadi
   1. $
   2. siku Chagua kati ya 3 hadi 30
  2. Anwani yako ya barua pepe ni?
   1. Anwani hii ya barua pepe tayari imesajiliwa kwa akunti iliyopo. Tafadhali weka jina lako la siri kuingia.
  Jifunze zaidi kuhusu mashindano ya Graphic Design

  Maswali Yaulizwayo Kila Mara

  • Kwa nini nitunge shindano?

   Inakuruhusu kutazama mamia ya wasilisho iliyo na wazo lako na utalipia tu utakayoipenda! Kwa mfano, logo iliyobuniwa biashara yako na mamillioni ya wafanyakazi huru.

  • Natungaje shindano?

   Rahisi! Chagua tu aina ya shindano na ubonyeze 'Tuma shindano' hapo juu.

  • Maaelezo ya shindano ni nini?

   Ni nakala unayopaswa kupeana ili kueleza wafanyakazi huru kimasomaso unachohitaji (na usichokihitaji) kwenye shindano lako.

  • Ni nini kitakachofanyika nikishamchagua mshindi?

   Anza shughuli ya ukabidhi ili kumiliki wasilisho la ushindi kihalali na mfanyakazi huru pia atapokea fedha za zawadi. Tena, fedha ya zawadi inawachiliwa mara utakaporidhika kwa asilimia 100% na ubunifu.

  • 'Uhakikisho wa Kurudishiwa pesa' ni nini?

   Utarudishiwa fedha zako za zawadi ikiwa hautamchagua mshindi ama haujafurahia matokeo. Ilani: Mashindano yaliyohakikishiwa na viboresho vilivyonunuliwa havijumuishwi..

  • Je unahitaji usaidizi kwenye shindano lako?

   Tafadhali wasiliana na timu yetu ya kirafiki ya huduma kwa usaidizi wowote kuhusu shindano lako. Wanapatikana masaa 24 kwa siku, siku 7 kwa juma!

  Ficha

  Jamii yetu ya mashindano

  Shindano lilituruhusu kuwa kwenye bajeti yetu, kukamilisha mradi wa kuchapisha vitabu vya maelezo tuliyotaka kutumia kwenye tamasha tulilokuwa nalo, na tuliweza kuchagua kati ya mawazo bunifu kadhaa.
  Connie Trynovich
  Huwa najiunga na mashindano kwa kuwa nataka kushinda. Kushinda kunadhibitisha kuwa ujuzi wangu wa ubunifu ni bora kati ya wabunifu wengine.
  Kelvin Otieno Ogos
  • 29,667,691 Wafanyakazi huru
  • 162 Kadrii ya Wasilisho kwa Shindano
  • 3,913,277 Imetuzwa

  Kama inavyohusishwa kwa

  • Forbes
  • The New York Times
  • Time
  • Times Online

  Ujuzi wa Graphic Design kwenye Freelancer.com?

  Bidhaa, picha ama chochote kitakachoshinda huwa kinachangia pakubwa sana kwa kufaulu kwa biashara yoyote, na inapaswa kubuniwa tu na wabunifu wa picha wenye ujuzi tele. Freelancer ndiyo tovuti ambayo waajiri na wafanyakazi huru huelekea kwayo wanakoweza kutuma ama kujiunga kwenye mahindano ya ubunifu na kuchagua ama kuonyesha logo, ubunifu wa tovuti, utengenezaji wa bidhaa, mifumo ya utambulisho, maandishi na mengineyo mengi ya ushindi!

  Wabunifu wa picha hulenga utunzi wa bidhaa zitakazoshinda, picha ama maandishi ambayo yatabadilisha kabisa biashara ya muajiri. Wana uwezo wa kutumia picha zilizochorwa kwa mikono ama kutngenezwa kwa kompyuta, vitufe, ubunifu wa shati, mipangilio ya tovuti na zaidi.

  Tuma ama jiunge kwenye shindano la Graphic Design kwenye Freelancer leo!