Mashindano ya Freelancer

Uwezo wa Kupeana kwa Umati

Kupeana kwa umati kunakuruhusu kuwahi dimbwi kubwa la wafanyakazi huru kutoka kote ulimwenguni. Watu walio na ujuzi wa kila nyanja wanaweza kuchangia shindano lako, na kukuruhusu kupokea chaguo nyingi zitakazo faa mahitaji yako. Unaweza kupeana kwa umati mawazo bunifu yako kwa nyanja nyingi tofauti kama ubunifu wa logo na tovuti, utunzi wa video, ubunifu wa shati na mengineyo mengi.

 • Tuma Shindano Lako

  Eleza mahitaji yako ukitumia fomu yetu rahisi na uweke zawadi inayofaa ili wafanyakazi huru washindanie!

 • Anza Kupokea Wasilisho

  Wafanyakazi huru watasoma maelezo yako na kuanza kuwasilisha mawazo bunifu yao, wote wakijaribu kukupatia wasilisho bora zaidi.

 • Tuza wasilisho Bora zaidi

  Watolee wafanyakazi huru maoni, chagua wasilisho unalolipendelea na umtuze mfanyakazi huru ili uanzishe shughuli yako ya ukabidhi.

Boresha Shindano Lako!

Mtandao wetu una baadhi ya vitu vya kukusaidia kupokea mengi kutoka kwenye shindano lako. Unaweza kuchagua mojawapo ya vitu hivi unapoanza shindano lako:

 • Imehakikishiwa

  Wahakikishie wafanyakazi huru kuwa mshindi atachaguliwa na kutuzwa zawadi. Hii itavutia wasilisho nzuri kutoka kwa wafanyakazi huru wengi. Uhakikisho wa kurudishiwa pesa haupo katika Mashindano yaliyohakikishiwa.

 • Il'ohusishwa

  Mashindano yaliyohusishwa huvutia wasilisho zenye hali ya juu, na nyingi na huonyeshwa wazi kwenye ukurasa wa 'Kazi na Mashindano Iliyohusishwa'.

 • Shindano Kuu

  Pokea wasilisho za hali ya juu! Wafanyakazi huru wakuu wataalikwa kiotomatiki kujiunga kwenye shindano lako.

 • Onyesha

  Fanya shindano lako lionekana zaidi kati ya zote kwa kuonyesha orodhesho lako.

 • Imefichwa

  Ni wewe tu unayeweza kuona wasilisho zote. Kila mfanyakazi huru anaweza tu kuona wasilisho lake. Inahakikisha unapata mawazo ya kipekee.

 • Ya Kibinafsi

  Weka shindano lako liwe la siri. Mashindano ya kibinafsi yanafichwa kutoka kwa mitandao ya kutafuta na watumiaji wa umma.

Wasilisho za Kusisimua kwa Mawazo ya Kusisimua

Hakuna kikomo kwa unayoweza kupokea kupitia kwa shindano. Haya hapa baadhi ya vitu vizuri tuliyotengeneza kupitia mtandao wetu:

Maswali Yaulizwayo Kila Mara

 • Kwa nini nitunge shindano?

  Kutunga shindano kunakuruhusu kuona mamia ya mawazo bunifu ya kipekee. Utaweza kuitisha kuhaririwa kwa zile uzipendazo na utalipia tu ikiwa utaridhika.

 • Natungaje shindano?

  Rahisi! Rudi tu juu ya ukurasa na uchague Tuma Shindano ama uchague mradi sawia kwenye bango hapo juu.

 • Maaelezo ya shindano ni nini?

  Ni maelezo mafupi unayopeana ili kuwajulisha wafanyakazi huru haswa unachohitaji (ama usichokihitaji) kwenye shindano lako.

 • Uhakikisho wa kurudishiwa pesa ni nini?

  Utarudishiwa fedha zako za zawadi ikiwa hautamchagua mshindi ama haujafurahia matokeo. Ilani: Mashindano yaliyohakikishiwa na viboresho vilivyonunuliwa havijumuishwi..

 • Ni nini kinafanya Mashindano ya Freelancer yawe tofauti?

  Shindano la Freelancer linakuruhusu kuwa na bajeti yako na uchague mshindi wakati wowote. Hata zaidi, utaweza kuwafikia wafanyakazi huru (zaidi ya milioni 13!) wanaoweza kuchangia kwenye shindano lako.

 • Ni nini kifanyikacho baada ya kumchagua mshindi?

  Anza shughuli ya ukabidhi ili kumiliki wasilisho la ushindi kihalali na mfanyakazi huru pia atapokea fedha za zawadi. Tena, fedha ya zawadi inawachiliwa mara utakaporidhika kwa asilimia 100% na ubunifu.