Mashindano ya Freelancer

Uwezo wa Kupeana kwa Umati

Kupeana kwa umati kunakuruhusu kuwahi dimbwi kubwa la wafanyakazi huru kutoka kote ulimwenguni. Watu walio na ujuzi wa kila nyanja wanaweza kuchangia shindano lako, na kukuruhusu kupokea chaguo nyingi zitakazo faa mahitaji yako. Unaweza kupeana kwa umati mawazo bunifu yako kwa nyanja nyingi tofauti kama ubunifu wa logo na tovuti, utunzi wa video, ubunifu wa shati na mengineyo mengi.

  • Chapisha Shindano Lako

    Eleza mahitaji yako ukitumia fomu yetu rahisi na uweke zawadi inayofaa ili wafanyakazi huru washindanie!

  • Anza Kupokea Wasilisho

    Wafanyakazi huru watasoma maelezo yako na kuanza kuwasilisha mawazo bunifu yao, wote wakijaribu kukupatia wasilisho bora zaidi.

  • Tuza wasilisho Bora zaidi

    Toa maoni kwa Wafanyakazi huru, chagua ingizo unalolipendelea na umtuze mfanyakazi huru ili uanzishe mcahakato wa kukabidhi.

Boresha Shindano Lako!

Mtandao wetu una baadhi ya vitu vya kukusaidia kupokea mengi kutoka kwenye shindano lako. Unaweza kuchagua mojawapo ya vitu hivi unapoanza shindano lako:

  • Imehakikishiwa

    Wahakikishie wafanyakazi huru kuwa mshindi atachaguliwa na kutuzwa zawadi. Hii itavutia wasilisho nzuri kutoka kwa wafanyakazi huru wengi. Uhakikisho wa kurudishiwa pesa haupo katika Mashindano yaliyohakikishiwa.

  • Il'ohusishwa

    Mashindano yaliyoangaziwa huvutia ingizo nyingi na za hali ya juu, na huonyeshwa kimaarufu kwenye ukurasa wa 'Kazi na Mashindano Yaliyoangaziwa'.

  • Shindano Kuu

    Pokea wasilisho za hali ya juu! Wafanyakazi huru wakuu wataalikwa kiotomatiki kujiunga kwenye shindano lako.

  • Onyesha

    Fanya shindano lako lionekane kutoka kwa mengine kwa kuangazia orodhesho lako.

  • Imefichwa

    Ni wewe tu unayeweza kuona wasilisho zote. Kila mfanyakazi huru anaweza tu kuona wasilisho lake. Inahakikisha unapata mawazo ya kipekee.

  • Ya Kibinafsi

    Weka shindano lako liwe la siri. Mashindano ya kibinafsi yanafichwa kutoka kwa mitandao ya kutafuta na watumiaji wa umma.

Ingizo za Kushangaza kwa Mawazo ya Kushangaza

Hakuna kikomo cha unayoweza kupata kupitia shindano. Hapa kuna baadhi ya mambo ya kushangaza ambayo tumefanya kwa kutumia jukwaa letu wenyewe:

Maswali Yaulizwayo Kila Mara

  • Kwa nini napaswa kuandaa shindano?

    Kuunda shindano hukuruhusu kuona mamia ya maoni ya kipekee kulingana na kile unahitaji. Unaweza kuomba kuhaririwa vipendwa vyako na ulipe tu unaporidhika.

  • Nitaandaa aje shindano?

    Rahisi! Nenda nyuma juu ya ukurasa na uchague Chapisha Shindano au uchague mradi sawa kutoka kwa jukwa hapo juu.

  • Muhtasari wa mashindano ni nini?

    Ni maelezo mafupi unayopeana ili kuwajulisha wafanyakazi huru haswa unachohitaji (ama usichokihitaji) kwenye shindano lako.

  • Dhamana ya kurudishiwa pesa ni nin?

    Utarudishiwa fedha zako za zawadi ikiwa hautamchagua mshindi ama haujafurahia matokeo. Ilani: Mashindano yaliyohakikishiwa na viboresho vilivyonunuliwa havijumuishwi..

  • Nini hufanya Mashindano ya Freelancer yawe tofauti?

    Shindano la Freelancer linakuruhusu kuwa na bajeti yako na uchague mshindi wakati wowote. Hata zaidi, utaweza kuwafikia wafanyakazi huru (zaidi ya milioni 13!) wanaoweza kuchangia kwenye shindano lako.

  • Ni nini hufanyika ninapochagua mshindi?

    Anza mchakato wa makabidhiano kumiliki kihalali ingizo lililoshinda. Mfanyikazi huru pia atapata pesa ya tuzo. Tena, pesa ya tuzo hutolewa mara tu unapofurahia 100% na muundo.