Freelancer.com kwa rasmi saii imefikisha wasajili milioni thelathini duniani kote

Hii ni hatua muhimu sana kwa Freelanceer.com na kwenyu wote mlio katika jamii yetu ya kimataifa.

Tunapeana dola elfu tano za zawadi katika muda huu wa kusherekea contest to find the 'new face of Freelancer'.

Kwa hatua hii spesheli, tafadhali pia tueleze ambacho Freelancer inamaanisha kwako.